Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

Kuna Mmasai wa Tanzania mmoja muuza Dawa za Kimasai alikutana na kipigo cha kutisha huko Ituri wakisema ni Mpelelezi wa Kitutsi,walikuwa hawajawahi kuona Masai katika maisha yao.

Aliokolewa na Madereva wa Malori wa Kenya
😄😄 Ila hapo kwa mmasai nimecheka Sana aisee,masai wa watu angekufa bure ye amekalia tu kusema Erooo Suphai 😄😄
 
😄😄 Hata Ruto alivyoingia madarakani wacongo walisema wakalenjini Ni watusi waliohamia Kenya zamani 😄😄, wanajeshi wa Congo nao walipoenda Congo picha zao zikawa zinasambazwa huko Twitter zikisema jeshi la Kenya limejaa Watusi 😄😄.

Mimi Kiufupi naonaga wacongo Ni Kama mataahira flani hivi,kwa Maana ya Kwamba madishi Yao hua kama yameyumba hivi, hawanaga uwezo wa kufikiria sawasawa na kua objective.
Nimeona Wasomali kwenye Jeshi la Kenya huko Goma.
 
Huyo mzee ni Luten general mstaafu kwa walio karibu wanadai mzee anaishi zama za mawe yawezekana hata hajui kinachoendelea now
Kwa level yake yuko updated na kila jambo .... hata kama yupo kijijini without any connection anatapa briefing muhimu.
 
Hata Waziri wa Kenya wa ulinzi Ni msomali Aden Duale.
Kuna kisa kingine kilinikuta nikiwa Kigali nimechukua Chumba changu kwenye Guest House moja wakaja Wamasai wa Tanzania kuja kujulia hali mwenzao muuza Dawa aliyetokea Sudan ya Kusini.

Huyo Mmasai alipigwa na Wanubi nusura ya kuuwawa kisa aliwapa Dawa wale Wadinka Dawa mtoto ya Malaria yule mtoto akafariki usiku

Wamasai wote waliokuwa Mji ule walisakwa na Kipigo kizito kikatembea ilibidi wakimbilie Boda ya Uganda.
 
😄😄 Wamasai janja janja nyingi Sana aisee,huko Kigali wamasai wenyewe hawauzi mitishamba kama huku bongo?
 
Wacha weee [emoji23][emoji23][emoji23]... kama nakuona unavyochapa togwa lako na mihogo ya kuchemsha ili ulipe tumbo joto ukalale [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio uhalisia huo lkn kiuhalisia Tz tuna jeshi dhaifu mno
 
Kwa level yake yuko updated na kila jambo .... hata kama yupo kijijini without any connection anatapa briefing muhimu.
Sio mtu wa system ni kamanda mbobezi haswa system haikuwai kumpenda that why........()
 
Hiyo ilikuwa ambush na isitoshe Kdf mpaka wanashambuliwa tatizo ilikuwa kukosa intelligence ya kutosha....walijifunza makosa ndio maana mpaka leo hawajapata kadhia kama hiyo.
.
KDF kwa sasa wameimarika mno hao M23 wajiandae kukimbilia tena Rwanda na Uganda kwa wafadhili wao.
T14 Armata Richard Bukyanagandi
Hao wanaoisema KDF hawajui JW ilipigwa ambush hapo Congo na tukapata vifo vya wanajeshi wetu. Au tarehe 15 hapo Mozambique si tulipigwa ambush JW wakakimbia. Nimesoma huu uzi mwanzo nikaona nisichangie, wanaichukulia KDF kama jeshi la Burundi sijui.

Na ingetokea KDF waende wenyewe tu au waende na South Africa na Malawi kama sisi ili kuwe na fair comparison. KDF wako vizuri kuanzia kwenye silaha, mafunzo na teknolojia, hata maonyesho yao siku ya uhuru yalinganishe na East African countries.
Hawa hapa wako na hand launched drones kufanya reconnaissance kwenye mission hiyo
20221125_002552.jpg
 
Mi natokea tabora,Pana watusi wengi tabora tangu enzi za milambo huko,wale wamba wanajisikia hatari,na wapo wengi tu serikalini,hawali kuku lakini..kitu Kama na mayai hawali
Tanzania hakuna kabila linaloitwa tutsi. Hao uliowaona ni watanzania wenye makabila yenye asili ya watu warefu, wenye pua ndefu, wembamba nk.

Ni kama vile wamasai kama hakutoboa masikio na kuvaa yale mashuka yao, ukimuona mpakani mwa Rwanda au Burundi utakimbilia kwenda kuita askari wa uhamiaji waje kumkamata mtusi wa Rwanda au Burundi alieingia nchini bila vibali.
Lakini mwisho wa siku utakuja kugundua kuwa jamaa sio mtutsi kama ulivyofikiri bali ni mmasai ambae wengi huwafananisha na watutsi.
 
😄😄 Hata Ruto alivyoingia madarakani wacongo walisema wakalenjini Ni watusi waliohamia Kenya zamani 😄😄, wanajeshi wa Congo nao walipoenda Congo picha zao zikawa zinasambazwa huko Twitter zikisema jeshi la Kenya limejaa Watusi 😄😄.

Mimi Kiufupi naonaga wacongo Ni Kama mataahira flani hivi,kwa Maana ya Kwamba madishi Yao hua kama yameyumba hivi, hawanaga uwezo wa kufikiria sawasawa na kua objective.
Mguu ulioumwa na nyoka, siku ukikanyaga jani lazima ushtuke.

Kwa kichapo wanachopokea kutoka kwa vijana wa M23, ni lazima kila wanapomuona mtu anaefanana na jamii inayowatwanga wamuogope.
 
Hao wanaoisema KDF hawajui JW ilipigwa ambush hapo Congo na tukapata vifo vya wanajeshi wetu. Au tarehe 15 hapo Mozambique si tulipigwa ambush JW wakakimbia. Nimesoma huu uzi mwanzo nikaona nisichangie, wanaichukulia KDF kama jeshi la Burundi sijui.

Na ingetokea KDF waende wenyewe tu au waende na South Africa na Malawi kama sisi ili kuwe na fair comparison. KDF wako vizuri kuanzia kwenye silaha, mafunzo na teknolojia, hata maonyesho yao siku ya uhuru yalinganishe na East African countries.
Hawa hapa wako na hand launched drones kufanya reconnaissance kwenye mission hiyoView attachment 2428719
Ndugu umeweka picha na maelezo marefu lkn tayari ishaonesha kuwa huna unalolijua kuhusu namna mambo ya kijeshi yanavyokuwa. Sasa tulia nikupe somo kidogo huenda nikakutoa tongo tongo zilizopo machoni.

Ni hivi, Mwaka 2013 Tanzania tukishirikiana na Malawi pamoj na SA tulikwenda Congo kwa lengo la kuwapokonya silaha kwa nguvu, na kuwatimua katika ngome zao waasi wote ambao walikaidi agizo lililotolewa na nchi za SADC la kuweka silaha chini. Na kwa vile lengo la kupeleka jeshi letu kule ilikuwa ni kuwanyang'anya silaha kwa nguvu na kuwatimua, basi tulipofika kule hatukuleta maneno mengi kama yanayoletwa na askari wa Kenya sasa.

Sisi tulipofika tu maeneo husika kazi ikaanza bila kuongeza hata dakika moja na oparation ilikuwa kabambe sio ya kitoto hadi kupelekea waasi hao pamoja na wale wa Uganda na Burundi kukimbia ngome zao, wengine kujisalimisha na wengine kukubali kuweka silaha chini hata baada ya muda waliopewa kupita.

Baada ya oparation ile ambayo ilikuwa chini ya SADC, Tanzania na nchi zilizoshiriki oparation ile zikaunganishwa katika kikosi cha Umoja wa Mataifa ambacho kipo kule kwa lengo la kuwalinda raia.

Sasa basi ukiangalia mambo ya kijeshi utagundua kwamba hapo kuna mambo mawili tofauti. Nayaandika hapo chini kwa namba.

1) Oparation ya SADC ilikuwa ni ya kwenda kupambana moja kwa moja na waasi ili kuwanyang'anya silaha na kuwatimua katika ngome zao (Guerrilla War). Hii oparation iliwaruhusu kutumia silaha yoyote kulingana na uzito vita wanayopigana na UN haikuwa na uwezo wa kuingilia oparation ile.

2) Hii ya pili ni ya peacekeeper ambayo kazi yake ni kuwalinda raia dhidi ya mashambulizi ya waasi, hii ya peace keeper huwa mnapewa silaha hafifu na huongozwa kwa sheria za UN ambazo hazimruhusu askari kumfuata adui alipo na kuacha position yake ya kuwalinda raia. Ndio maana askari wengi (sio wa Tanzania peke yao) wanaoendaga kwenye mambo ya peacekeeper huwa wanauwawa sana kutokana na sheria mbovu za Umoja wa Mataifa. Hii ni tofauti na sheria za hapo juu namba 1.

Tukija kwa Kenya, yenyewe imekwenda kwa mgongo wa EAC kama ilivyokuwa Tanzania kwa SADC, wanaruhusiwa kutumia mbinu yoyote kuwadhibiti hao waasi kama ilivyofanya Tanzania, cha muhimu wasiuwe tu raia.

Sasa cha kushangaza marufuku hiyo imeisha juzi saa 12, lakini mpaka leo hii siku ya tatu Kenya imeshindwa kuingiza jeshi kuwapokonya askari hao kwa nguvu kama ilivyofanya Tanzania.

Narudia tena, Tanzania haikuzidisha hata dakika moja. Ila Kenya ishazidisha siku 3 sasa bila kufanya lolote.
 
Hao wanaoisema KDF hawajui JW ilipigwa ambush hapo Congo na tukapata vifo vya wanajeshi wetu. Au tarehe 15 hapo Mozambique si tulipigwa ambush JW wakakimbia. Nimesoma huu uzi mwanzo nikaona nisichangie, wanaichukulia KDF kama jeshi la Burundi sijui.

Na ingetokea KDF waende wenyewe tu au waende na South Africa na Malawi kama sisi ili kuwe na fair comparison. KDF wako vizuri kuanzia kwenye silaha, mafunzo na teknolojia, hata maonyesho yao siku ya uhuru yalinganishe na East African countries.
Hawa hapa wako na hand launched drones kufanya reconnaissance kwenye mission hiyoView attachment 2428719
Ndugu umeweka picha na maelezo marefu lkn tayari ishaonesha kuwa huna unalolijua kuhusu namna mambo ya kijeshi yanavyokuwa. Sasa tulia nikupe somo kidogo huenda nikakutoa tongo tongo zilizopo machoni.

Ni hivi, Mwaka 2013 Tanzania tukishirikiana na Malawi pamoj na SA tulikwenda Congo kwa lengo la kuwapokonya silaha kwa nguvu, na kuwatimua katika ngome zao waasi wote ambao walikaidi agizo lililotolewa na nchi za SADC la kuweka silaha chini. Na kwa vile lengo la kupeleka jeshi letu kule ilikuwa ni kuwanyang'anya silaha kwa nguvu na kuwatimua, basi tulipofika kule hatukuleta maneno mengi kama yanayoletwa na askari wa Kenya sasa.

Sisi tulipofika tu maeneo husika kazi ikaanza bila kuongeza hata dakika moja na oparation ilikuwa kabambe sio ya kitoto hadi kupelekea waasi hao pamoja na wale wa Uganda na Burundi kukimbia ngome zao, wengine kujisalimisha na wengine kukubali kuweka silaha chini hata baada ya muda waliopewa kupita.

Baada ya oparation ile ambayo ilikuwa chini ya SADC, Tanzania na nchi zilizoshiriki oparation ile zikaunganishwa katika kikosi cha Umoja wa Mataifa ambacho kipo kule kwa lengo la kuwalinda raia.

Sasa basi ukiangalia mambo ya kijeshi utagundua kwamba hapo kuna mambo mawili tofauti. Nayaandika hapo chini kwa namba.

1) Oparation ya SADC ilikuwa ni ya kwenda kupambana moja kwa moja na waasi ili kuwanyang'anya silaha na kuwatimua katika ngome zao. Hii oparation iliwaruhusu kutumia silaha yoyote kulingana na uzito vita wanayopigana na UN haikuwa na uwezo wa kuingilia oparation ile.

2)
 
jeshi letu kule ilikuwa ni kuwanyang'anya silaha kwa nguvu na kuwatimua, basi tulipofika kule hatukuleta maneno mengi kama yanayoletwa na askari wa Kenya sasa.
KDF hawajaleta maneno mkuu, wao ni wazee wa kazi kazi, hata Alshabaab wanakiri hilo.....humu JF ndio tumejaa maneno tu.

Hao M23 wasipokubali amani waandae tena pa kukimbilia.
imhotep
 
Ndugu umeweka picha na maelezo marefu lkn tayari ishaonesha kuwa huna unalolijua kuhusu namna mambo ya kijeshi yanavyokuwa. Sasa tulia nikupe somo kidogo huenda nikakutoa tongo tongo zilizopo machoni.

Ni hivi, Mwaka 2013 Tanzania tukishirikiana na Malawi pamoj na SA tulikwenda Congo kwa lengo la kuwapokonya silaha kwa nguvu, na kuwatimua katika ngome zao waasi wote ambao walikaidi agizo lililotolewa na nchi za SADC la kuweka silaha chini. Na kwa vile lengo la kupeleka jeshi letu kule ilikuwa ni kuwanyang'anya silaha kwa nguvu na kuwatimua, basi tulipofika kule hatukuleta maneno mengi kama yanayoletwa na askari wa Kenya sasa.

Sisi tulipofika tu maeneo husika kazi ikaanza bila kuongeza hata dakika moja na oparation ilikuwa kabambe sio ya kitoto hadi kupelekea waasi hao pamoja na wale wa Uganda na Burundi kukimbia ngome zao, wengine kujisalimisha na wengine kukubali kuweka silaha chini hata baada ya muda waliopewa kupita.

Baada ya oparation ile ambayo ilikuwa chini ya SADC, Tanzania na nchi zilizoshiriki oparation ile zikaunganishwa katika kikosi cha Umoja wa Mataifa ambacho kipo kule kwa lengo la kuwalinda raia.

Sasa basi ukiangalia mambo ya kijeshi utagundua kwamba hapo kuna mambo mawili tofauti. Nayaandika hapo chini kwa namba.

1) Oparation ya SADC ilikuwa ni ya kwenda kupambana moja kwa moja na waasi ili kuwanyang'anya silaha na kuwatimua katika ngome zao. Hii oparation iliwaruhusu kutumia silaha yoyote kulingana na uzito vita wanayopigana na UN haikuwa na uwezo wa kuingilia oparation ile.

2) Hii ya pili ni ya peacekeeper ambayo kazi yake ni kuwalinda raia dhidi ya mashambulizi ya waasi, hii ya peace keeper huwa mnapewa silaha hafifu na huongozwa kwa sheria za UN ambazo hazimruhusu askari kumfuata adui alipo na kuacha position yake ya kuwalinda raia. Ndio maana askari wengi (sio wa Tanzania peke yao) wanaoendaga kwenye mambo ya peacekeeper huwa wanauwawa sana kutokana na sheria mbovu za Umoja wa Mataifa. Hii ni tofauti na sheria za hapo juu namba 1.

Tukija kwa Kenya, yenyewe imekwenda kwa mgongo wa EAC kama ilivyokuwa Tanzania kwa SADC, wanaruhusiwa kutumia mbinu yoyote kuwadhibiti hao waasi kama ilivyofanya Tanzania, cha muhimu wasiuwe tu raia.

Sasa cha kushangaza marufuku hiyo imeisha juzi saa 12, lakini mpaka leo hii siku ya tatu Kenya imeshindwa kuingiza jeshi kuwapokonya askari hao kwa nguvu kama ilivyofanya Tanzania.

Narudia tena, Tanzania haikuzidisha hata dakika moja. Ila Kenya ishazidisha siku 3 sasa bila kufanya lolote.

Hawezi kukuelewa, comments zake zote ni za kuponda JWTZ.
 
Hao wanaoisema KDF hawajui JW ilipigwa ambush hapo Congo na tukapata vifo vya wanajeshi wetu. Au tarehe 15 hapo Mozambique si tulipigwa ambush JW wakakimbia. Nimesoma huu uzi mwanzo nikaona nisichangie, wanaichukulia KDF kama jeshi la Burundi sijui.

Na ingetokea KDF waende wenyewe tu au waende na South Africa na Malawi kama sisi ili kuwe na fair comparison. KDF wako vizuri kuanzia kwenye silaha, mafunzo na teknolojia, hata maonyesho yao siku ya uhuru yalinganishe na East African countries.
Hawa hapa wako na hand launched drones kufanya reconnaissance kwenye mission hiyoView attachment 2428719
Ata US Navy SEAL wana pigwa ambush vita ni vita muraaaa
 
Back
Top Bottom