Sio kwamba hawakuwa tayari vita ni strategy na sio mavifaa mbona al Shabaab hawana vifaa na Marekani kashindwaUlipokuja kusema kuhusu jwtz apo ndo sijakubaliana na wewe,ni kweli taliban,vietcong n.k wote walikua na morali na utayari wa kujitoa kupambania nchi zao ndio maana walishinda,wanajeshi wengi wa US hawakua na utayar kabisa na izo vita
Hicho ni kitu gani kinachodemka kwenye profile picha yakoKwa sababu ni wendawazimu, wewe ambaye ni mzima usiwaige
duh! nimekimbilia kusoma nilijua kuna cha maana kumbe ni hisia zakoJeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.
Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.
Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.
Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league
Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.
Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.
Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.
Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.
Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.
JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
Hizi sio hisia ni facts embu niambie Marekani kashinda vita mara ya mwisho lini embu niambie ni lini Marekani kapigana vita bila msaada wa nato na Uingereza?duh! nimekimbilia kusoma nilijua kuna cha maana kumbe ni hisia zako
Maneno mengi kumbe hata huna ufahamu wowote ule juu ya aina tofauti za vita?!!mi huwa nasema hata kama huipendi US,ni kujizima data tu.Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.
Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.
Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.
Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league
Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.
Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.
Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.
Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.
Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.
JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
Marekani ni jeshi linalokosa uvumilivu😂😂Sio kwamba hawakuwa tayari vita ni strategy na sio mavifaa mbona al Shabaab hawana vifaa na Marekani kashindwa
Kwani kama wewe unaipenda US lazima na mimi niipende? Nipe ufahamu tafadhali kama kuna chochote nimeandika hapo cha uongo nirekebishe kwa hojaManeno mengi kumbe hata huna ufahamu wowote ule juu ya aina tofauti za vita?!!mi huwa nasema hata kama huipendi US,ni kujizima data tu.
Us army unalinganisha na uchsfu (jwtz?Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.
Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.
Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.
Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league
Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.
Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.
Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.
Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.
Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.
JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
Mbna kila siku mpo huko kuwalamba miguu hao mashoga wawape mikopo na misaada, kwann msiende kwa ma straight??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo programu za kijasusi za karatasi au nato ni kundi la waoga jwtz walivyo mpiga idd amini alishirikiana na nani au alisimama kiume mwenyewe hao nato ni taasisi ya waoga wasiojua vita wanajificha nyuma ya technologiaUs army unalinganisha na uchsfu (jwtz?
NATO yote bila US,hawawezi kitu,
Ndio jeshi la kwanza kutumia nuklia,
Unajua program za kijasusi ambazo US wamefsnya?jeshi SI kupiga risasi puuu puuu,inahitaji intelijensia,
Programu gani wewe ya kijasusi mambo ya movie usilete kwenye uhalisia wewe unajua aibu Marekani aliyopata pale Afghanistan kukimbia na kuacha mali na vifaa vya kijeshi grade one na pesa mamilioni ya dola niambie huo ujasusi imeisaidia Marekani kushinda vita gani. Na pia nato yote muungano wa nchi karibu 29 ni jumuia ya waoga tuu usilinganishe na JWTZUs army unalinganisha na uchsfu (jwtz?
NATO yote bila US,hawawezi kitu,
Ndio jeshi la kwanza kutumia nuklia,
Unajua program za kijasusi ambazo US wamefsnya?jeshi SI kupiga risasi puuu puuu,inahitaji intelijensia,
Hebu tuwaambie JWTZ na wale makomandoo wetu wakajaribu kufyatua tu hata baruti au kurusha risasi moja pale ubalozi wa marekani au kwenye kambi yao ya jeshi ndio tuje tujadili hii mada hapa maana tutajua kama wapo overated au laaJeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.
Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.
Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.
Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league
Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.
Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.
Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.
Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.
Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.
JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
Nimeweka wazi aya ya kwanza kuwa Marekani wana vifaa na technologia. Lakini kwenye uwanja wa vita ni kazi bure hawajui vita nikauliza swali anaejuaHebu tuwaambie JWTZ na wale makomandoo wetu wakajaribu kufyatua tu hata baruti au kurusha risasi moja pale ubalozi wa marekani au kwenye kambi yao ya jeshi ndio tuje tujadili hii mada hapa maana tutajua kama wapo overated au laa
Mission ilikuwa kuwaondoa Talibani ktk utawala. Wameondoka wamewaacha talabani ktk utawala. Sasa hapo mission gani iliyokamilikaKuna watu mambo ya duniani yamewapita kushoto yaani mpaka Leo unaamini taleban imewakimbiza marekani[emoji848].
Watu wamekamilisha mission zao kwa kutokomeza magaidi, kumuua Osama na wkt wanaondoka wameenda kwa Amani tu bila shuruti huku talebani wakibeba mabegi ya wageni wakiwasindikiza uwanja wa ndege halafu leo unasema usa ameshindwa vita na taleban.
Usa wapo makini sn mkuu.
Marekani iliwai kushinda kwenye Mexican War (1846-1848). Ilikuwa ni vita kati yake na Mexico ya leo.Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.
Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.
Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.
Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league
Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.
Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.
Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.
Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.
Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.
JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
Source yako ya Haya maandishi umetoa wapi, au ni hisia zako tu? Pambana na hali yako ya kujihudumia na kuhudumia familia Hilo lipo ndani ya uwezo wako.Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.
Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda mrefu.
Marekani ni jeshi la waoga sana. Tazama juzi juzi walikimbia Afghanistan na kuwaachia taleban mavifaa ya kisasa ndege pamoja na fedha mamilioni ya dola. Kisa kuogopa wachunga mbuzi wenye AK 47. Taleban hawana bulet proof vest wao vita kwao ni kufa na kupona sio ku cheat kama wazungu.
Marekani alianza chokochoko za kumwondoa bashar al asad raisi wa Syria kiko wapi kimya kimya wameshindwa na wamejitoa kwenye vita na syria arab army wameshinda vita na last week wamerudi arab league
Marekani hawezi pigana vita mwenyewe lazima waungane na nato ili washinde vita. Nionyeshe vita ambayo Marekani kapambana mwenyewe akashinda.
Marekani alipigwa vibaya na vietnam akakimbia vita mpaka sasa hivi ni aibu.
Gadaffi mwenyewe kama asingechangiwa na wamarekani na washirika wao nato angeshinda vile vita imagine nchi zaidi ya 20 ziliungana zikaichangia libya. Wazungu ni waoga sana.
Jeshi la Marekani halina morali na maadili mfano mambo ya lgbtq jeshini. Kwa akili ya haraka haraka Marekani alipigwa hadi na Al- Shabaab hapo Somalia mbona ndege na manowari hazija wasaidiwe.
Huwezi kushinda vita vya anga kama huna boots on the ground.
JWTZ hawana vifaa kivile lakini Marekani hawezi kushindana na JWTZ kubali kataa.
SiSource yako ya Haya maandishi umetoa wapi, au ni hisia zako tu? Pambana na hali yako ya kujihudumia na kuhudumia familia Hilo lipo ndani ya uwezo w
Sina cha kupambana kaka my life is goodSource yako ya Haya maandishi umetoa wapi, au ni hisia zako tu? Pambana na hali yako ya kujihudumia na kuhudumia familia Hilo lipo ndani ya uwezo wako.