Jeshi la Marekani Hamna kitu zimebaki sifa tuu in short US military is overrated

Taleban waliweza kwasababu Marekani udhaifu wao hawawezi vita vya muda mrefu na pia Marekani vita vya ardhini hawawezi wanategemea technologia ya anga na baharini. Wakija ardhini wanakaa tuu
Vita virefu ni vya miaka mingapi?
 
Nakubal
 
Hata kama hatuwapendi lakini ukweli tuuseme, kama kweli wangekua ni wadhaifu hivyo unavyo wasema basi wabaya wake Urusi na China bila kumsahau Mr kiduku wa Korea kaskazini wangekua wamesha mpiga watakavyo
 
kijana kutoka mchamba wima republic baada ya kushiba ulanzi mixer togwa anatoa facts zake zilizo tukuka kulihusu jeshi la marekani
vituko vya namna hii utavipata nchi hii tu ....

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
We ndio mzalendo sasa
 
Hivi hapa baadhi ya vita Marekani amewahi kupigana na kushinda bila washirika wake.

Dominican Republic Occupation 1916
Haiti Occupation 1915
Nicaragua Occupation 1912
Battle of Ambos Nogales(Mexico)1918
Permesta Rebellion(Indonesia)1961
Lebanese civil war of 1958
Operation Just Cause(Panama) 1989
 
Mimi najuwa Wewe ni critical thinker kama ungetaka kujifunza kitu kutoka kwenye hii mada usinge nipinga.

Hivo vita vyote ulivyo taja hapo ni batili. Hizo ni mapinduzi yaliyofanywa kwa kificho. Kuondoa serikali za kidemokrasia na kuweka pupets. Wewe jikite kwenye mada.
 
Hadithi yako inatufundisha nini mtoto mzuri?
 
Jihadist at his best while breathing fire 🔥 Most of the terrorist masterminds have been advanced by the US to be received by the imaginary 72 virgins something that doesn't sound well to some of the jihadists like the author of this thread.
 
Amka bro punguza kuota
 
Sijui umeshiba maharage ya wap ww unaropoka tu.. anyway lakin wanaongoza Dunia.tuishie hapo!!!
 
Putin mwenzako kule analialia Kila akipigiwa na wayukreini anasema ni wamarekani wamempiga,asa ww mrusi wa manzese unasema u.s.a jeshi dhaifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…