Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
limedungua machache, ila mengi yamefika na yameiathiri sana Israel. Myahudi ana hasira sasaivi ukikutana naye usimwongeleshe, atakukwida. Ila wana mpango kulipiza, na watalipiza.US Navy destroyers in the eastern Mediterranean Sea intercepted Iranian ballistic missiles during Tuesday’s launch, according to a US defense official.
The US currently has three guided-missile destroyers operating in the eastern Mediterranean: USS Arleigh Burke, USS Cole, and USS Bulkeley.
US destroyers also took part in intercepting Iran’s barrage of ballistic missiles and drones on April 13, shooting down several of the missiles launched at Israel.
Kumbuka, Israel pia anazo hizo hypersonicMimi najiuliza, na Israel akifurumisha mvua ya makombora je Iran atahimili kuyatungua? Au Israel yeye hana hayo makombora?
Sababu Israel ni taifa ovu Kama baba yake marekani,na waislam ni watu wa hakisawa sio vita ya kidini ila sasa Mbona waislam mnashangilia Israel ikishambuliwa?!
Iran wameweka wazi, Israel akishambulia atampa vitu hata bunker hazitasaidialimedungua machache, ila mengi yamefika na yameiathiri sana Israel. Myahudi ana hasira sasaivi ukikutana naye usimwongeleshe, atakukwida. Ila wana mpango kulipiza, na watalipiza.
Israel nchi nzima ni ndogo kuliko dar na moro,atapata hasara tu Iran wakiamua kubomoa mijiKumbuka, Israel pia anazo hizo hypersonic
Aisee, hii ndiyo premise unayoitumia kusimika argument yako? Nasi poa, tufanye upo sawa.Israel nchi nzima ni ndogo kuliko dar na moro,atapata hasara tu Iran wakiamua kubomoa miji
Sasa Jana Iran angetaka kubomoa mji wa tel aviv si wote ungekua magofu Leo!..Iran ana uwezo wa kuchakaza miji ya Israel kwa usiku mmojaAisee, hii ndiyo premise unayoitumia kusimika argument yako? Nasi poa, tufanye upo sawa.
maneno tu, ngoja tuone itakuwaje.Iran wameweka wazi, Israel akishambulia atampa vitu hata bunker hazitasaidia
Iran sio taifa ovu?!Sababu Israel ni taifa ovu Kama baba yake marekani,na waislam ni watu wa haki
Endelea kushangiliaKama hu umii vipi unawahusudu waislam wakishangilia walipo chagua. Kushangilia?
Je huwaoni wakristo wakishangilia wanapopigwa walebanon na watu wa ghaza
Kamfanyia nani uovu?!..nani alianzisha vita iraq, Syria, Libya, vietnam nk?..nana ameua wapalestina wake kwa waume,watoto?..nani alifanya mauaji lebanon?..nani anaweka vikwazo korea kaskazini watu wafa kwa njaa na maradhi?..nani alifadhili vita Angola ya savimbi?Iran sio taifa ovu?!
Wakiristo wa jf propaganda mnasomea wapi?
We jamaa hubadiliki tu, sijui wamekufanya nini hao mazayuni yaliyolaaniwa. Zinduka!Endelea kushangilia
Hawa nyoyo zao zimepigwa mhuri, hivyo usitegemee wawe upande wa wenye haki.Kamfanyia nani uovu?!..nani alianzisha vita iraq, Syria, Libya, vietnam nk?..nana ameua wapalestina wake kwa waume,watoto?..nani alifanya mauaji lebanon?..nani anaweka vikwazo korea kaskazini watu wafa kwa njaa na maradhi?..nani alifadhili vita Angola ya savimbi?