Jeshi la Marekani ladai limetungua Makombora ya Iran, inadaiwa mpaka sasa hakuna Madhara yaliyoripotiwa

Jeshi la Marekani ladai limetungua Makombora ya Iran, inadaiwa mpaka sasa hakuna Madhara yaliyoripotiwa

US Navy destroyers in the eastern Mediterranean Sea intercepted Iranian ballistic missiles during Tuesday’s launch, according to a US defense official.

The US currently has three guided-missile destroyers operating in the eastern Mediterranean: USS Arleigh Burke, USS Cole, and USS Bulkeley.

US destroyers also took part in intercepting Iran’s barrage of ballistic missiles and drones on April 13, shooting down several of the missiles launched at Israel.
limedungua machache, ila mengi yamefika na yameiathiri sana Israel. Myahudi ana hasira sasaivi ukikutana naye usimwongeleshe, atakukwida. Ila wana mpango kulipiza, na watalipiza.
 
limedungua machache, ila mengi yamefika na yameiathiri sana Israel. Myahudi ana hasira sasaivi ukikutana naye usimwongeleshe, atakukwida. Ila wana mpango kulipiza, na watalipiza.
Iran wameweka wazi, Israel akishambulia atampa vitu hata bunker hazitasaidia
 
Wakiristo wa jf propaganda mnasomea wapi?

Hawa watu tulishawazoea, na Qur’an imeshawazungumzia.

Hivyo wanachokaririshwa ni wepesi wa kuamini na kutuletea humu uongo wao, kombora zaidi ya 400 halafu zisilete madhara kweli!!
 
Kamfanyia nani uovu?!..nani alianzisha vita iraq, Syria, Libya, vietnam nk?..nana ameua wapalestina wake kwa waume,watoto?..nani alifanya mauaji lebanon?..nani anaweka vikwazo korea kaskazini watu wafa kwa njaa na maradhi?..nani alifadhili vita Angola ya savimbi?
Hawa nyoyo zao zimepigwa mhuri, hivyo usitegemee wawe upande wa wenye haki.
 
Hivi unaelewa maana hyper Sonic? Maana kuna super sonic pia hilo likifyatuliwa ni dk 3 liko tele vivi hilo limewekwa kando kama ikijibu na tangazo atakae fungua anga huo msako wake wasije laumiwa
 
Back
Top Bottom