Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha wajifurahushe Iran katika pigo la Mwanzo kapeleka Missiles 100 na 80% zimepiga target. Yule Jordan kangusha badhi ya Missiles yeye na US .Wakiristo wa jf propaganda mnasomea wapi?
US Navy destroyers in the eastern Mediterranean Sea intercepted Iranian ballistic missiles during Tuesday’s launch, according to a US defense official.
The US currently has three guided-missile destroyers operating in the eastern Mediterranean: USS Arleigh Burke, USS Cole, and USS Bulkeley.
US destroyers also took part in intercepting Iran’s barrage of ballistic missiles and drones on April 13, shooting down several of the missiles launched at Israel.
Makombora yalikuwa mengi lakini binafsi sijaona madhara yoyote mpaka sasa, labda tusubirie keshoKulikua na mvua ya makombora leo israel,na kaambiwa akijikuna atapewa kitu achakae
Wewe umeona madhara yoyote mpaka sasa au umeona yakitua tu?Kusema wameyazuia ni uongo. Mvua imenyesha sana leo Israel. Tunataka kesho tuone majibu yao. Wacha watandikane sawa sawa ili waache kubwekabweka. Tunataka tupate mshindi.
Kwani wakati yanatua walisema au walionyesha? Sasa na madhara tuone pia wala hakuna haja ya kusemaUnategemea yakiwapo madhara waseme?
Kwani wakati yanatua walisema au walionyesha? Sasa na madhara tuone pia wala hakuna haja ya kusema
Kubishana na wavaa vipedo na makobazi ni ngumu sana. Wanatengeneza fake video kujifariji 🤔
Mpaka Sasa watu wawili wajeruhiwa kidogo na mabaki ya makombora yaliyodunguliwa 🤔
.....
Kwani picha za wakati yanashuka zilikuwa censored na nani mpaka picha za madhara tusione?Utaona Kwa TV ipi iwapo zilizopo hurusha kilichokuwa censored na IDF?