Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka iliyoona yanadondoka ni mabaki ya makombora yaliyodunguliwa, poleni sana!Mpaka Sasa watu wawili wajeruhiwa kidogo na mabaki ya makombora yaliyodunguliwa 🤔
.....
Kwani picha za wakati yanashuka zilikuwa censored na nani mpaka picha za madhara tusione?
View: https://x.com/WarWatchs/status/1841189333501456864
Naona mwamba kaamua . Iron dome haiwezi daka hizi vitu vizito
View: https://x.com/WarWatchs/status/1841189333501456864
Naona mwamba kaamua . Iron dome haiwezi daka hizi vitu vizito
Iran wamerusha makombora zaidi ya 200 ya ballistic. Madhara watu wawili kujeruhiwa kidogo sababu ya shrapnel /mabaki ya makombora na mpalestina mmoja aliyeuwawa na hayo mabaki ya makombora yaliyodunguliwa 🤔
Hiyo ndio shida yenu vijana wa 2000's. Sasa Ukristo umeingia je hapa mkuu?
Israel kama ikikusudia kushambulia watu basi watakuwa ni magaidi. Kama kuna raia watakufa basi watakuwa walifanywa ngao na hao magaidi /human shield 🤔.Iran hailengi makazi ya watu inapiga military assets kama viwanja vya ndege.
Iran siyo Taifa la kihuni kupiga makazi ya watu ili kuua raia wengi iewezekanavyo kama hao Wazayuni wauaji
Makombora mengi sana yamepiga target, vyombo vya habari vya wazungu visikupotoshe...Israel leo Air Dwfence isingeweza kitu maana kwa jinsi Iran alivyorusha isingeweza kitu kabisa kwani pods zake ni 16 missiles yeye katumiwa zaidi ya 180 reload time na muda Missiles zimetoka Iran zimetumia dakika 10 tu
Kujifariji kupo tu atakama wewe ni taifa teuleUS Navy destroyers in the eastern Mediterranean Sea intercepted Iranian ballistic missiles during Tuesday’s launch, according to a US defense official.
The US currently has three guided-missile destroyers operating in the eastern Mediterranean: USS Arleigh Burke, USS Cole, and USS Bulkeley.
US destroyers also took part in intercepting Iran’s barrage of ballistic missiles and drones on April 13, shooting down several of the missiles launched at Israel.
Mmeishindwa Israeli kwenye battle field Sasa mmeanza propaganda. Hao viongozi wa Hezbollah waliouwawa US waliweka mamilioni ya dola juu ya vichwa vyao , wengine ni toka miaka ya 80 sababu ya kushambulia interests na watu wa marekani. Israeli imegundua walipo na kuwauwa wewe unaleta Porojo 🤔Kauli za US utagundua kuwa killings za HAMAS & HEZBOLLAH zilikuwa coordinated na US wala sio uwezo wa ISRAEL pekee kama dunia ya 3 wanavyopongezana ...
Ni kweli kuna makombora dazeni kadhaa yamepenya na kutua Israel.Israel leo Air Dwfence isingeweza kitu maana kwa jinsi Iran alivyorusha isingeweza kitu kabisa kwani pods zake ni 16 missiles yeye katumiwa zaidi ya 180 reload time na muda Missiles zimetoka Iran zimetumia dakika 10 tu
Weka ushahidi wa madhara yaliyotokea, kusababishiwa na makombora. Hii dunia ya technology huwezi kuficha kitu. Ukizingua hata satellite zitakuumbua🤔Ni kweli kuna makombora dazeni kadhaa yamepenya na kutua Israel.
Kwa faida ya Israel lazima itolewe taarifa iliyo ficha ukweli kwamba hayajaleta madhara yeyote.
Mimi sishabikii yeyote katika vita hivi ila nahisi Iran atapigwa vibaya sana kimkakati na Israel (Israel will punish Iran strategically like killing their military and political leaders including Ayyatolah).
Stop the war.
Sasa wewe umeona wapi hayo madhara kama huo ndio utaratibu?Utaona Kwa TV ipi iwapo zilizopo hurusha kilichokuwa censored na IDF?
Wewe umegundua nini ili tuzungumze kwa upana wake!Kauli za US utagundua kuwa killings za HAMAS & HEZBOLLAH zilikuwa coordinated na US wala sio uwezo wa ISRAEL pekee kama dunia ya 3 wanavyopongezana ...