Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Kwa hiyo wewe janitor wa msikiti ndio unafahamu kuizidi hata Marekani yenyewe inayotaka kumaliza kabisa jeuri ya Iran.US akigusa Iran ndio asahau hizo Carriers zake zitakuwa ni history na Base zake zitakuwa ni history hivyo hivyo
Wewe ni Kenge Iran kisha kuwa na Nuclear Boom si lazima ukutangazieni ana Nuclear na hata US na uhakika kisha gundua Iran wana Nuclear BoomKuna kitu kinachorwa na matokeo yake tutayafahamu kabla ya mwezi wa nne mwaka huu.
Iran inakataa kuacha kurutubisha uranium hali inayoonyesha wazi kwamba nia yao ni kumiliki silaha za nyuklia kitu ambacho dunia ya wastaarabu haiwezi kukubali katu.
Pili Iran inakataa kufanya mazungumzo yanayohusu kupunguza masafa ya makombora na tatu inakataa kukoma kufadhili magenge ya kigaidi.
Kwa mantiki hiyo basi Iran inapoteza tu muda kwenye hayo mazungumzo ili ipate muda wa kujiandaa kukabiliana na mashambulizi makali ya Marekani.
Sawa Kenge wa kanisa tutauno ubabe wa USA safari hiKwa hiyo wewe janitor wa msikiti ndio unafahamu kuizidi hata Marekani yenyewe inayotaka kumaliza kabisa jeuri ya Iran.
Kiukweli kabisa serikali ya kiislamu ya Iran inatakiwa kudondoshwa kwa maslai mapana ya dunia dhidi ya uhalifu wa kiislamu unaofanywa na nchi za kiarabu ...pia uislamu upigwe vita Iran baada ya serikali kudondoshwa .Maafisa wawili wa Marekani wamekiambia chombo cha habari cha Reuters, kuwa Jeshi la Marekani linajiandaa kwa uwezekano wa operesheni endelevu za wiki moja dhidi ya Iran ikiwa Rais Donald Trump ataamuru shambulio.
Ufichuzi huo wa maafisa hao, ambao walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina kutokana na hali nyeti ya mipango hiyo, unaongeza hatari kwa diplomasia inayoendelea kati ya Marekani na Iran.
Wajumbe wa Marekani Steve Witkoff na Jared Kushner watafanya mazungumzo na Iran siku ya Jumanne mjini Geneva , huku wawakilishi kutoka Oman wakihudumu kama wapatanishi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alionya siku ya Jumamosi kwamba ingawa upendeleo wa Trump ulikuwa kufikia makubaliano na Tehran, "hilo ni gumu sana kufanya."
Maafisa wa Marekani walisema Ijumaa kwamba Pentagon ilikuwa ikituma meli ya ziada ya kubeba ndege Mashariki ya Kati, na kuongeza maelfu ya wanajeshi zaidi pamoja na ndege za kivita, ndege za kivita za kuangamiza makombora yanayoongozwa na nguvu nyingine za moto zinazoweza kufanya mashambulizi na kujilinda dhidi yao.
Trump, akizungumza na wanajeshi wa Marekani siku ya Ijumaa katika kambi moja huko North Carolina, alielezea waziwazi uwezekano wa mabadiliko ya utawala nchini Iran, akisema "inaonekana kama hilo ndilo jambo bora zaidi linaloweza kutokea." Alikataa kushiriki ni nani alitaka kuichukua Iran, lakini akasema "kuna watu."
Kwa muda mrefu Trump amekuwa akitoa maoni yake kuhusu kutuma wanajeshi wa ardhini nchini Iran, akisema mwaka jana "jambo la mwisho unalotaka kufanya ni vikosi vya ardhini," na aina za vikosi vya Marekani vilivyoko Mashariki ya Kati hadi sasa vinapendekeza chaguzi za mashambulizi hasa ya vikosi vya anga na majini. Nchini Venezuela, Trump alionyesha nia ya kutegemea pia vikosi maalum vya operesheni kumkamata rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, katika uvamizi mwezi uliopita.
Mwenye nguvu anajulikana ni USAWenyewe walianzishe hata kesho ajulikane nani mwenye nguvu
Kobazi bhna.US akigusa Iran ndio asahau hizo Carriers zake zitakuwa ni history na Base zake zitakuwa ni history hivyo hivyo
nuclear Boom au siyo masterWewe ni Kenge Iran kisha kuwa na Nuclear Boom si lazima ukutangazieni ana Nuclear na hata US na uhakika kisha gundua Iran wana Nuclear Boom
We endelea kutuletea ukanisa hapa hizo Carriers zilikuwa zinatisha zamani wakati unabadilika, Iran ana under water drones na hakuna Radar inayo weza kuziona.
We huoni Iran hatishiki na USA alisha jifunza namna ya kuziteketeza hizo Carriers.
Hizi habari unazijua wewe ila majasusi wa CIA na MOSSAD hawazijui una bahati ya kupenyezewa taarifa kuliko hata hao USA wanaoingia vitani .. haya ndio matokeo ya kushiba ubwabwa wa hitima baada ya kifo cha Imam wa msikiti..Wewe ni Kenge Iran kisha kuwa na Nuclear Boom si lazima ukutangazieni ana Nuclear na hata US na uhakika kisha gundua Iran wana Nuclear Boom
We endelea kutuletea ukanisa hapa hizo Carriers zilikuwa zinatisha zamani wakati unabadilika, Iran ana under water drones na hakuna Radar inayo weza kuziona.
We huoni Iran hatishiki na USA alisha jifunza namna ya kuziteketeza hizo Carriers.
US hakuweza kuona Boom lake halikuripuka Iran na yeye ndiye alirusha aone kila kitu cha Iran. USA hakuweza kuziona Missiles za Iran zikiland Israel aone kila kitu Iran. Mnanikumbusha eti anaona mpaa sisimizi ๐Hizi habari unazijua wewe ila majasusi wa CIA na MOSSAD hawazijui una bahati ya kupenyezewa taarifa kuliko hata hao USA wanaoingia vitani .. haya ndio matokeo ya kushiba ubwabwa wa hitima baada ya kifo cha Imam wa msikiti..
We jamaa mbona kila wakati unarudia kosa lile.Hii "boom" unayoandika kila wakati ni vitu gani?Sema hii forum ina watu.US hakuweza kuona Boom lake halikuripuka Iran na yeye ndiye alirusha aone kila kitu cha Iran. USA hakuweza kuziona Missiles za Iran zikiland Israel aone kila kitu Iran. Mnanikumbusha eti anaona mpaa sisimizi ๐
Kwa hizo sababu ulizoziandika, Iran ๐ฎ๐ท ana haki ya kukataaKuna kitu kinachorwa na matokeo yake tutayafahamu kabla ya mwezi wa nne mwaka huu.
Iran inakataa kuacha kurutubisha uranium hali inayoonyesha wazi kwamba nia yao ni kumiliki silaha za nyuklia kitu ambacho dunia ya wastaarabu haiwezi kukubali katu.
Pili Iran inakataa kufanya mazungumzo yanayohusu kupunguza masafa ya makombora na tatu inakataa kukoma kufadhili magenge ya kigaidi.
Kwa mantiki hiyo basi Iran inapoteza tu muda kwenye hayo mazungumzo ili ipate muda wa kujiandaa kukabiliana na mashambulizi makali ya Marekani.
Acha ushamba wewe,hivi unajua venezuela ana mafuta kuzidi saudia na hao wengine wa middle east.? Hapo hujaongelea USA naye ana mafuta bado nigeria ? Usikariri.Wengi wetu leo tunashabikia vita mashariki ya kati, lakini madhara ya vita vya eneo hilo yatakuwa makali Afrika nzima.
Vita dhidi ya Iran haitakuwa sawa na vita dhidi ya Iraq.
Eneo ambalo linaenda kuwashwa moto ndiyo njia inayotegemewa kupitisha mafuta karibu yote ya Dunia.
Tuweke ushabiki pembeni kwa maslahi ya Dunia.