Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

Wapi niliposema makosa ya waislamu wachache ni makosa ya wote?
Sheikh akibaka hawajabaka waislamu wote

Padre akibaka hawajabaka wakristo wote

Hoja zangu zilikua kwenye hao wanaofanya makosa kutumia Quran kuhalalisha wanachofanya. Natumai umenielewa
Basi kama ni hivyo usituletee mambo ya Islamic State wala Al Shabab maana hatuhusiki nayo
 
Kuhusu kanisa waislamu wanadai kanisa siyo mafundisho ya yesu kwa sababu yesu akuingia wala kuabudu kanisani
Si waislamu wanaodai ni hao wanaowaandikia biblia ndio wanaosema
 
Nimemaliza mjadala na wewe kaka.
HUNA HOJA ya maana sasa.
Wewe endelea na UBISHANI wako.
 
Basi kama ni hivyo usituletee mambo ya Islamic State wala Al Shabab maana hatuhusiki nayo
Huyo jamaa anapenda kulazimisha hoja.
-Anachanganya DINI na ITIKADI. Taliban,Alshabaab,ISIS wote ni watu wa itikadi.
-Mtu unamueleza wazi je kama Alshabaab wanapigania uislam mbona Somalia inaongozwa kiislam?
Pia mbona Alshabaab wanaua watu wasio wa kabila lao na wanataka atakayeongoza Somalia awe wa kabila lao!? Je unapigania dini au kabila!??
Ana anapenda ubishani wa kitoto.
 
Na anachokifanya Israel pale Gaza dunia ya wastaarabu imeridhia au ni kitu sahihi?
Kabila ya kujiuliza hayo Jiulize kwanza hayo waliyoyafanya magaidi hao Oct 07,2023 dunia ya was taarabu ilirudhia? Kama waliona ni kitu sahihi basi waache kubwabwaja au kunya anye kuku akinya bata mnasema Kaharisha? Acheni Ujinga!!!!!
 
Kobazi wana hoja za kijiweni sana
 
Source yako wikipedia!??
😂😂😂😂 Kasome Iran-Iraq war utizame aliyemsaidia Iran kisilaha ni nani!??
Nenda kaisome Iraq-Iran war tafadhali.
Yenyewe imeandikwa na nani.
 
Basi kama ni hivyo usituletee mambo ya Islamic State wala Al Shabab maana hatuhusiki nayo
Sijakuelewa vizuri hamhusiki nayo kivipi?

Islamic state lengo lao ni kuundwa dola ya kiislamu, Al shabab lengo lao ni kuundwa dola ya kiislamu (wanampigania Allah)
 
Nimemaliza mjadala na wewe kaka.
HUNA HOJA ya maana sasa.
Wewe endelea na UBISHANI wako.
Umemalizana na mm kwenye lipi hapo? Kuna ambavyo nilitegemea ungejibu, mfano hiyo slogan ya alshabab, pia nilitegemea ungejibu sababu za kuundwa kundi la seleka
 
Dini na itikadi? Unataka kutueleza uongo kuhusu maana ya itikadi?

Itikadi inaweza kuwa ya dini. Ndio maana wanaitwa waislamu wenye itikadi kali

Kuhusu Al shabab nimekueleza kuwa hawakubaliani na serikali iliyopo sababu wanasema ni machawa wa magharibi
Kama ambavyo Saudia Arabia anavyosemwa kuwa ni kibaraka wa magharibi. Hapo hujaelewa nini?

Kwa nini wewe ujiundie sababu ikiwa Al shabab wenyewe wapo na sababu zao waaziweka wazi? Nimekuwekea hayo maneno kwenye nembo yao, nimekuuliza maana yake nini?

unahisi unaweza kudanganya watu kirahisi?
 
Sijakuelewa vizuri hamhusiki nayo kivipi?

Islamic state lengo lao ni kuundwa dola ya kiislamu, Al shabab lengo lao ni kuundwa dola ya kiislamu (wanampigania Allah)
Vipi yale makanisa ya LGBTQ yanayodai kuwa ni ya kikristo nyinyi mnahusika nayo?
 
Vipi yale makanisa ya LGBTQ yanayodai kuwa ni ya kikristo nyinyi mnahusika nayo?
Unawatenga vipi na kusema hao sio wakristo ikiwa wanatumia makanisa hayo kufanya ajenda za lgbt? Nitakua mtu mjinga nikisema hao sio wakristo

Tatizo ni pale mnaposema Al shabab, Boko Haram sio waislamu wakati wanatumia Quran kuhalalisha wanachofanya
 
Sio kila mtu anayeibuka kutumia Qur’an kuhalalisha kila kitu hata kama ni kiovu basi ni wa kumkubali na kumkubali huo ndio ujinga ila kama nyinyi mmeamua kuwakubalia hao mashoga sawa tu ni maamuzi yenu
 
Acha uongo wewe ,wadanganye vilaza wenzako
 
Electric cars na renewable energies ndio solution ya haya mavita, na tayari imeanza, Trump na waarabu wana akili za miaka 50 iliyopita, mafuta is a dying business
 
Na Iran regime wameua maelfu ya wananchi wake, acha Ayatollahs wapelekewe moto tuu ******* tuu
 
Wafuga Midevu na Majini wengi wenu mna utindio wa ubongo kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…