Jeshi la Police kamateni viongozi wa LBL ofisi zote nchi nzima mikoa yote kabla pesa hazijatoroshwa nchini

Jeshi la Police kamateni viongozi wa LBL ofisi zote nchi nzima mikoa yote kabla pesa hazijatoroshwa nchini

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
Hawa watu ni wahuni wameshawapiga watz wanataka kusepa na pesa sasa.
Meneja wao huo hapa anaitwa Emily yupo Uingereza +44 7429 429168.
Ukiangalia list ya makampuni ya Uingereza hii kampuni haipo.
Ukiingia google ukasearch scarm company imo so iliwezekanaje hawa wahuni kupewa vibali vya kufanya wizi Tanzania
 

Attachments

  • Screenshot_20250215_221631.jpg
    Screenshot_20250215_221631.jpg
    354.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250215_221728.jpg
    Screenshot_20250215_221728.jpg
    282.7 KB · Views: 1
Washaliwa watu
 

Attachments

  • Screenshot_20250224_184724~3.jpg
    Screenshot_20250224_184724~3.jpg
    80.7 KB · Views: 1
Hizi ponzi huwa hazizidi miezi sita ikija mpya nistueni nipige mwanzoni mwanzoni mtaji ukirudi nile kona
 
Japo sijui kinachoendelea but nikizingatia heading inaonekana kuna watu wameshapigwa,lakini kwani walishikiwa bunduki?
 
pesa tulishatorosha mkuu kitambo sana hatuna hata mia hata ukitusachi
 
ukishatepeliwa ni kuwa mpole tu tena kama hela yenyewe ulitoa kwa hiyari yako. Inauma ukiwaza hela yako umeipata kwa tabu halafu muda huu wahuni wanailia mbuzi kitunguu na bia baridi bila jasho.
 
Hiyo kampuni haipo bongo na huyo Mr. Challis ni raia wa marekani.
Niliandika in details hapa LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji
Hakuna jina kweny website ni la kweli ,wote hao ni fictional characters mpaka address ...Hii mwanzilishi wake hayupo mbali kabisa ,nchi za nje huwezi kuanzisha website ya utapeli ni rahisi kuijua kutokana na mifumo ya mitandao yao.

Server za website wanaweza kuzipa location yoyote ile duniani ili kuendana na masaa ya nchi fulani ila ni danganya toto.

Hao jamaa ni wajanja sana wengine wapo bongo ndio wanasaidia kuunganisha huduma ya mobile money kama mpesa , Airtel money na tigopesa.
 
Nchi hii mandezi wengi ndio maana watu wenye akili wanaziona fursa kupitia undezi huo.

Tumesema sana humu ndani tena kupitia mifano hai iliyowahi kutokea lakini mjimga ni mjinga tu badala ya kuchukua kama funzo yeye anakuona hater unachukia maendeleo yake.

Sasa kila mtu aliyeingia huko anaamza kubweka bweka kuisumbua serikali eti iingilie kati. Huo ni ujinga.

Na hata hii itapita, itakuja nyingine na kama kawaida vinabo hawata kosekana na mwisho utakuwa kama huu, kwasababu tu ya wajinga wamekuwa ni wengi.
 
Inatakiwa nyie wajinga mliojiunga ndio mkamatwe na mchapwe fimbo.

Wapumbavu kabisa. Ushawahi ona wapi mtu anapata pesa kwa kuangalia movie tu?
 
Kila siku mkiambiwa hamsikiii 😄😄😄 msiichoshe serikali ni upumbavu wenu tu.
Na kesho itakuja nyingine mtaingia kuchota pesa za bure
 
Back
Top Bottom