Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu wanajiita risktaker khaiiIla kuna watu wanapenda sana michezo ya kutapeliwa
HeheheUshawahi ona wapi mtu anapata pesa kwa kuangalia movie tu?
Vp Hii F I C Nayo Itaondoka Na KijijiHawa watu ni wahuni wameshawapiga watz wanataka kusepa na pesa sasa.
Meneja wao huo hapa anaitwa Emily yupo Uingereza +44 7429 429168.
Ukiangalia list ya makampuni ya Uingereza hii kampuni haipo.
Ukiingia google ukasearch scarm company imo so iliwezekanaje hawa wahuni kupewa vibali vya kufanya wizi Tanzania
Hahaha michezo ya watu Serikalini hio wewe hujui tu km umepigwaa kaa tulia Serikali ishachukua fungu lake
Ipo Sasa Hivi FIC Ina Watu TeleKila siku mkiambiwa hamsikiii 😄😄😄 msiichoshe serikali ni upumbavu wenu tu.
Na kesho itakuja nyingine mtaingia kuchota pesa za bure
😂🤣😂😂😂🤣Nilishauriwa sana na wafanyikazi wenzangu nijiunge nikasema mkitajirika ninyi inatosha.
Poleni sana...Hawa watu ni wahuni wameshawapiga watz wanataka kusepa na pesa sasa.
Meneja wao huo hapa anaitwa Emily yupo Uingereza +44 7429 429168.
Ukiangalia list ya makampuni ya Uingereza hii kampuni haipo.
Ukiingia google ukasearch scarm company imo so iliwezekanaje hawa wahuni kupewa vibali vya kufanya wizi Tanzania
Cc mrangiNchi hii mandezi wengi ndio maana watu wenye akili wanaziona fursa kupitia undezi huo.
Tumesema sana humu ndani tena kupitia mifano hai iliyowahi kutokea lakini mjimga ni mjinga tu badala ya kuchukua kama funzo yeye anakuona hater unachukia maendeleo yake.
Sasa kila mtu aliyeingia huko anaamza kubweka bweka kuisumbua serikali eti iingilie kati. Huo ni ujinga.
Na hata hii itapita, itakuja nyingine na kama kawaida vinabo hawata kosekana na mwisho utakuwa kama huu, kwasababu tu ya wajinga wamekuwa ni wengi.
Wapo wengi tu Pana wengine wanaitwa Evergreen venture wezi woteVp Hii F I C Nayo Itaondoka Na Kijiji
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂🤣🤣Wapo wengi tu Pana wengine wanaitwa Evergreen venture wezi wote
Mkuu hilo so kweli kuna websites kama darknet markets hadi sasa bado zipo zinatamba kama abacus,torzon,nexus bidencash na russian market bado zipo hewan na wamiliki hawajakamatwa hadi sasaHakuna jina kweny website ni la kweli ,wote hao ni fictional characters mpaka address ...Hii mwanzilishi wake hayupo mbali kabisa ,nchi za nje huwezi kuanzisha website ya utapeli ni rahisi kuijui kutokana na mifumo ya mitandao yao.
Server za website wanaweza kuzipa location yoyote ile duniani ili kuendana na masaa ya nchi fulani ila ni danganya toto.
Hao jamaa ni wajanja sana wengine wapo bongo ndio wanasaidia kuunganisha huduma ya mobile money kama mpesa , Airtel money na tigopesa.