Nchi hii mandezi wengi ndio maana watu wenye akili wanaziona fursa kupitia undezi huo.
Tumesema sana humu ndani tena kupitia mifano hai iliyowahi kutokea lakini mjimga ni mjinga tu badala ya kuchukua kama funzo yeye anakuona hater unachukia maendeleo yake.
Sasa kila mtu aliyeingia huko anaamza kubweka bweka kuisumbua serikali eti iingilie kati. Huo ni ujinga.
Na hata hii itapita, itakuja nyingine na kama kawaida vinabo hawata kosekana na mwisho utakuwa kama huu, kwasababu tu ya wajinga wamekuwa ni wengi.