Jeshi la Police kamateni viongozi wa LBL ofisi zote nchi nzima mikoa yote kabla pesa hazijatoroshwa nchini

Ila kuna watu wanapenda sana michezo ya kutapeliwa
 
Pesa zishatolewa na kila mtu keshakufa na chake wawekezaji subirin apo apo mpigwe tena
 
Hivi Inakuaje uweke laki nne na nusu na alafu kila mwezi urudishiwe laki nne na nusu.Pumbaffff kabisa hata hao waliotapeliwa inabidi wawekwe ndani tupunguze wajinga mtaani.
 
Vp Hii F I C Nayo Itaondoka Na Kijiji
 
Hakika Hii Ni Kwa Wenye Akili Tu
Hii Ni Michezo Ya Kuwakamua Wananchi Wajinga
Hahaha michezo ya watu Serikalini hio wewe hujui tu km umepigwaa kaa tulia Serikali ishachukua fungu lake
 
Kila siku mkiambiwa hamsikiii πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ msiichoshe serikali ni upumbavu wenu tu.
Na kesho itakuja nyingine mtaingia kuchota pesa za bure
Ipo Sasa Hivi FIC Ina Watu Tele
 
Poleni sana...
Mjifunze sasa
 
Cc mrangi
 
Mimi mpaka nimegombana na mdogo wangu wa mwisho kwa sababu ya hii takataka LBL
 
Wapo wengi tu Pana wengine wanaitwa Evergreen venture wezi wote
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Mkuu hilo so kweli kuna websites kama darknet markets hadi sasa bado zipo zinatamba kama abacus,torzon,nexus bidencash na russian market bado zipo hewan na wamiliki hawajakamatwa hadi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…