Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Umepanic alafu una hasira kali mno!

Kunywa maji, kisha nenda kalale huu uzi utakufanya uteseke bure.
Sijapanic, Ila kweli hasira ninazo kuona bunge ninalogharamia linakuwa la kipumbavu, polisi wanaofanya kazi kwa kodi zangu wanakuwa wa hovyo!
Ni sawa na kumgharamia kijana wako masomo katika shule bora lakini unakuja gundua kumbe shoga na hata kusoma hajali.
 
Kimada Joyce Mukya ana nguvu kuliko hata mtoto wa kumzaa wa Mbowe.

Mke wa ndoa wa Mbowe Ni daktari Tena bingwa.
Mbowe akaona taarifa hizo zimfikie kimada sio mkewe wa ndoa Wala mwanawe.

Maisha haya puuuui.

Pole Sana mke wa ndoa wa Mbowe
Inauma
 
"Pascal Mayalla, post: 35681666, member: 17813"]Mkuu Nguruvi3,This is a shame kwa jeshi letu la polisi!.
Sijui kwanini jeshi la Polisi hawajifunzi. Kuna dhana kuwa wananchi ni wajinga sana na kwamba kila watakachotupa wananchi watadaka.

Jeshi limesahahu huu si mwaka 1970 au 1963, sasa ni 2020
Jeshi letu bado linatumia mbinu za miaka 50 iliyopita kwa kizazi cha millennial na digital
Mwalimu Nyerere aliacha Urais kwasababu alijua si zama zake na kwamba kizazi kimeshatangulia mbele
Katika shambulio la Lissu, there was an excuse, mashahidi walioshuhudia ni wawili tuu na hawapo nchini, lakini hili la Mhe. Mbowe, Mbowe mwenyewe yupo, dereva wake yupo, yule shahidi muhimu yupo, sasa polisi wetu wanakwama wapi?.
Haya dereva wa Mbowe na Mbowe wapo.
Hakuna ushahidi mwingine zaidi.
Leo wanamtaka dereva wa TL. Wenye akili walijua ilikuwa kukwepa majukumu yao na utunzi wa hadithi tu.
Sasa wameadhirika maana sijui watamtaka dereva wa TL kwa Lipi tena.
Ninaogopa kama ikitokea kuna Camera zilinasa tukio hivi jeshi litaweka wapi uso wake.
Kadri wanavyoongea ndivyo mataifa yanavyopata ushahidi wa kile kinachodhaniwa. Ni aibu sana
Kama vitu vidogo hivi simple na straight forward ndio wanatoa taarifa za kujiumauma hivi, what about complex issues kama shambulio la Lissu?!.
I mean inatia aibu, hili linamalizwa na afisa wa dawati tu, ni kitu simple lakini jeshi limejikanyaga na kila likijikanyaga linajichafua sana. Kwanini wasikae kimya!
Naendelea kusisitiza sisi media tunaweza kusaidia, mwandishi yoyote wa IJ anaweza kuimaliza hii kitu in just some few munutes less than a day!.
Mkuu kwani unadhani vita ya kwanza na media ilikuwa kuhusu nini. Ni kuzuia , kuzitisha na kuhakikisha habari kama hizi zinakuwa chini ya udhibiti wa ''jeshi' na utunzi wa tamthilia.
Yes it is! hivi tulimuondoa mkoloni ili iweje? Hata jeshi la wakati wa mkoloni lisingekuwa low kiasi hiasi hiki.
 
PoliCCM
 
Hahahaha... Pasco umeuma na kupuliza!

"yule shahidi muhimu"

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwenyekiti kawaangusha Chadema hivi kwa mwendo huo mpambano wa Oktoba mtauweza kweli au mshakata tamaa!
 
Kwani kuna jipya au ni ile tukio la Faru Joni kwa Mwamba?
 
Kwa jinsi tunavyomfahamu Mbowe na viongozi wake, tukio kama hilo, lilomgusa mwenyewe, asingechukua hatua ya kupata matibabu kisiri. Wangeitwa waandishi wa habari wa ndani na nje kuutangazia ulimwengu
 
Kama anamdanganya mkewe,atashindwa danganya wananchi ?Tabia ya mtu ina reflect sana tabia zake atakapokuwa kiongozi. Kama Magufuli anazaa nje anamletea mama Janet alee. Tunaona yanayotokea leo.
CHARITY BEGINS AT HOME.
 

Sina tatizo na maelezo yako ya kuchukua maelezo kwa wahusika kwanza, hilo nakubali kabisa. Lakini ni mwendawazimu tu ataacha kuchukua kilichonaswa na CCTV wakati zipo, huku kukiwa na utata kwenye maelezo. Maelezo haya hayaingii akilini.

Kama ushahidi unapatikana kwa watu tu, CCTV camera Ni za nini? Maana nijuavyo CCTV hazizuii wezi, bali hurekodi matukio kwenye eneo husika, ili kusaidia uchunguzi. Hilo liko wazi. Huoni kuendelea kukwepa hilo, ndio kukwepa ukweli ulipo zaidi ya huu upotoshaji wa pande zote?
 
Hawajielewi hawa watu, mbona wengine hawasumbuki na mambo ya Kisarawe? Wala hakuna mwenye kufuatilia na Sundi na kurithishwa mali zingine za umma zilizoporwa?

Au wanataka hata ya kubaka mashemeji hadi mimba nayo yawe mjadala?
List ni ndefu lakini mambo binafsi hatuna haja nayo, tunataka CCTV footage ya Mbowe alivyo teleza mwenye ngazi hadi kuvunjika mguu kwa ulevi. Mbona rahisi wakati control ya hiyo footage iko chini ya himaya yao?
 
Hii Nchi umekuwa na mizaha na utoto mwingi.

Hii no kwasababu wanajua walio wengi hawajaelimika kwasababu wanazijua wao wenyewe.
 
Ule uchunguzi wa muroto kwamba alishambuliwa kwa mateke, hauna mashiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…