Mkuu Nguruvi3,
This is a shame kwa jeshi letu la polisi!.
Niliwahi kushauri hivi
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Hata hili tukio la kushambuliwa kwa Mhe. Mbowe, serikali yetu kupitia jeshi letu la polisi, tayari imeishashindwa sasa inakuja na hadithi!.
Katika shambulio la Lissu, there was an excuse, mashahidi walioshuhudia ni wawili tuu na hawapo nchini, lakini hili la Mhe. Mbowe, Mbowe mwenyewe yupo, dereva wake yupo, yule shahidi muhimu yupo, sasa polisi wetu wanakwama wapi?.
Kama vitu vidogo hivi simple na straight forward ndio wanatoa taarifa za kujiumauma hivi, what about complex issues kama shambulio la Lissu?!.
Naendelea kusisitiza sisi media tunaweza kusaidia, mwandishi yoyote wa IJ anaweza kuimaliza hii kitu in just some few munutes less than a day!.
Shame!.
P