Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tulia wewe , aliongea kinana ikapita kama upepo, ndio uje usikilizwe weweNahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road)
Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala.
Kinachonishangaza ni vile wako team work kila mtu anasonda kila daladala elf mbilimbili yake utazani wamepewa target ya makusanyo na viongozi waliowatuma!
Kama mambo meupe na mepesi kama hayo yanayoweza kuonekana hata na kipofu, napata mashaka na uwezo wa TAKUKURU Vinginevyo hilo Jambo lina BARAKA ZA WAKUBWA!
Hakika hayo ni matumizi mabaya sana ya sare za polisi na kodi za wananchi!
Maana sielewi kama kweli wanafanya kazi za jeshi au wanatumia sare za jeshi kufanya kazi zao binafsi!
Kama hili linabaraka basi halina tofauti na vibaka waliovaa sare!
OoohWskimkumbuka Azory hawathubutu kuvuka mstari
Hahah vibanda vya miamalaHakuna watu wana laana kama wale jamaa! Location yao nyingine ni Kibo, dawasco, mianzini mlimani sheli, bunju kwa baharia, bunju sokoni maua hizo zote ni vibanda vyao vya tigopesa View attachment 2489870
DuhWengine huwa wanalundikana barabara ya mandela (mbele ya veterinari - bodi ya mikopo elimu ya juu), na Azam....
Kuna siku nipo kwenye gari, abiria wanamwambia dereva ‘usichepuke, trafki yupo mbele pale’, dereva akajibu ‘sichepuki kwa sababu ya yule paleeeee wa mbele, huyu KITENGO chake ni bodaboda tu. Huwa hakamati daladala.’
MANINA 😂
Na hata Walimu wa serikali, tusiwalalamikie Wanapotaka michango shuleni.MIMI SIONI TATIZO KUPOKEA BUKU MBILI SGIDA IKO WAPI KWANI..KILA MTU APAMBANIE MAISHA YAKE
Hata manesiNa hata Walimu wa serikali, tusiwalalamikie Wanapotaka michango shuleni.
Kwenye daladala penyewe ni zaidi ya kusanyaAkikupiga mkono ka una kimeo unasimama mbele kdg unansikilizia akikaribia unamuonesha 5000 kwa chinichini usawa wa gia... Akiiona unahamisha mkono wa dirishan anakwapua chap.... Unasepaaa[emoji1787][emoji1787]
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Kinachonishangaza ni vile wako team work kila mtu anasonda kila daladala elf mbilimbili yake utazani wamepewa target ya makusanyo na viongozi waliowatuma!
OoohhIna maana hujui kwamba wana hesabu ya kufikisha daily? Na tena hesabu hiyo isipofika mara kwa mara, unahamishwa kabisa kitengo.
Hili nalo neno, je, polisi wanawezeshwa vipi kimaslahi? na kilio ni hikihiki kwa walimu, manesi nk....huenda ni wakati mwafaka sasa kwa serikali kufikiri kuhusu maslahi bora kwa watumishi wa kada mbalimbali..Maisha yao wanakoseshwa sana haki zao so naona mamlaka zimewapa fursa za kujiwezesha wenyewe, japo ukisikia maonyo ya viongozi wao inapicha tofauti kbsa
NAMBA MOJA alishasema, nanukuu, "kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake"..[emoji2]Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road)
Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala.
Kinachonishangaza ni vile wako team work kila mtu anasonda kila daladala elf mbilimbili yake utazani wamepewa target ya makusanyo na viongozi waliowatuma!
Kama mambo meupe na mepesi kama hayo yanayoweza kuonekana hata na kipofu, napata mashaka na uwezo wa TAKUKURU Vinginevyo hilo Jambo lina BARAKA ZA WAKUBWA!
Hakika hayo ni matumizi mabaya sana ya sare za polisi na kodi za wananchi!
Maana sielewi kama kweli wanafanya kazi za jeshi au wanatumia sare za jeshi kufanya kazi zao binafsi!
Kama hili linabaraka basi halina tofauti na vibaka waliovaa sare!
Mimi Morogoro walinikamata pale Sokoine nikiwa natokea shamba, nikawaambia sina kitu kabisa, wakaona maembe dodo ndani ya gari wakakomaa mpaka nikawapa 4 aiseeee..Ni waroho balaaaaaaaaaaa, kuna mmoja alinisimamisha nikaunga akaanza kunikimbiza akanikuta golen akala elf5 tukaachana
Watoe risiti ya mashine basi ili tujenge nchi badala ya kujenga matumbo yao..MIMI SIONI TATIZO KUPOKEA BUKU MBILI SGIDA IKO WAPI KWANI..KILA MTU APAMBANIE MAISHA YAKE
Wanapeleka hesabu kwa bosi! Hilo liko wazi mbona? Bosi ana hesabu yake kwa kila mtu na wao wana target za makusanyo yao!! Ukileta ubishi unapelekwa Mpitimbi au unarudishwa kauntaNahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road)