Jeshi la polisi hivi mnauhakika wale Trafiki pale mwenge (bagamoyo road) wanafanya kazi ya usalama barabarani?

Jeshi la polisi hivi mnauhakika wale Trafiki pale mwenge (bagamoyo road) wanafanya kazi ya usalama barabarani?

Njoo huku Nyumbani kwa mkulima mwenye Maghorofa aliyojenga kupitia kuuza mchicha ..Polisi wanakaa porini utadhani nyani..

Kiufupi Kwasasa polisi ndio idara isiyopkea rushwa hapa Tz.
We ni mwanaccm bila shaka
 
Kutwa mnawaambia polisi mishahara midogo,mara sijui wanapata laki 3 kwa mwezi,mara wanatumika tu na wanasiasa ila wana maisha mabovu,hivi mnadhani hawasikii?
Mama aliwahi kutamka kua kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake,mnadhani hawakusikia?
Acheni wale,kwenye halmashauri pesa zinapigwa na hampigi kelele,wao wawaache kwanini?
Haya umeeleweka
 
Back
Top Bottom