Jeshi la polisi hivi mnauhakika wale Trafiki pale mwenge (bagamoyo road) wanafanya kazi ya usalama barabarani?

tulia wewe , aliongea kinana ikapita kama upepo, ndio uje usikilizwe wewe
 
Duh
 
MIMI SIONI TATIZO KUPOKEA BUKU MBILI SGIDA IKO WAPI KWANI..KILA MTU APAMBANIE MAISHA YAKE
Na hata Walimu wa serikali, tusiwalalamikie Wanapotaka michango shuleni.
 
Akikupiga mkono ka una kimeo unasimama mbele kdg unansikilizia akikaribia unamuonesha 5000 kwa chinichini usawa wa gia... Akiiona unahamisha mkono wa dirishan anakwapua chap.... Unasepaaa[emoji1787][emoji1787]

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Kinachonishangaza ni vile wako team work kila mtu anasonda kila daladala elf mbilimbili yake utazani wamepewa target ya makusanyo na viongozi waliowatuma!

Ina maana hujui kwamba wana hesabu ya kufikisha daily? Na tena hesabu hiyo isipofika mara kwa mara, unahamishwa kabisa kitengo.
 
Kuna mwingine huwa anasimama pale sheri sijui pale ndo ofisi au huwa inakuwaje
 
Maisha yao wanakoseshwa sana haki zao so naona mamlaka zimewapa fursa za kujiwezesha wenyewe, japo ukisikia maonyo ya viongozi wao inapicha tofauti kbsa
Hili nalo neno, je, polisi wanawezeshwa vipi kimaslahi? na kilio ni hikihiki kwa walimu, manesi nk....huenda ni wakati mwafaka sasa kwa serikali kufikiri kuhusu maslahi bora kwa watumishi wa kada mbalimbali..
 
NAMBA MOJA alishasema, nanukuu, "kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake"..[emoji2]
 
Ni waroho balaaaaaaaaaaa, kuna mmoja alinisimamisha nikaunga akaanza kunikimbiza akanikuta golen akala elf5 tukaachana
Mimi Morogoro walinikamata pale Sokoine nikiwa natokea shamba, nikawaambia sina kitu kabisa, wakaona maembe dodo ndani ya gari wakakomaa mpaka nikawapa 4 aiseeee..
 
MIMI SIONI TATIZO KUPOKEA BUKU MBILI SGIDA IKO WAPI KWANI..KILA MTU APAMBANIE MAISHA YAKE
Watoe risiti ya mashine basi ili tujenge nchi badala ya kujenga matumbo yao..
 
Jeshi la Polisi lina watu wa ovyo sana haswa hicho Kitengo cha Trafiki, Kumejaa wajinga wengi sana hawana hata Common sense
 
Wanapeleka hesabu kwa bosi! Hilo liko wazi mbona? Bosi ana hesabu yake kwa kila mtu na wao wana target za makusanyo yao!! Ukileta ubishi unapelekwa Mpitimbi au unarudishwa kaunta
 
Kutwa mnawaambia polisi mishahara midogo,mara sijui wanapata laki 3 kwa mwezi,mara wanatumika tu na wanasiasa ila wana maisha mabovu,hivi mnadhani hawasikii?
Mama aliwahi kutamka kua kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake,mnadhani hawakusikia?
Acheni wale,kwenye halmashauri pesa zinapigwa na hampigi kelele,wao wawaache kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…