Kutwa mnawaambia polisi mishahara midogo,mara sijui wanapata laki 3 kwa mwezi,mara wanatumika tu na wanasiasa ila wana maisha mabovu,hivi mnadhani hawasikii?
Mama aliwahi kutamka kua kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake,mnadhani hawakusikia?
Acheni wale,kwenye halmashauri pesa zinapigwa na hampigi kelele,wao wawaache kwanini?