Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Polisi wanaingia kazini kuchunguza madai ya Makonda kutishia kumuua Salah.
Screenshot_20240401-104251.jpg
 
Alihusika kumteka Roma na kuongoza genge kwenye shambulizi la Lissu, kuvamia studio za Clouds na silaha, ni kitu Gani asichoweza kufanya!? Wale waliompiga ban asikanyage kwao sio kwamba ni wajinga, taarifa zake wanazo. Ana ujasiri wa shetani huyo kichaa.

Ila asisahau, hizi sio zile zama za yule jamaa wa Chato, hao anaowatisha wanaweza kumshughulikia pia.
 
Watu hapa wanadhani Makonda shetani lakini Salah ni zaidi ya shetani watu wanajificha nyuma ya matabasamu tu lakini ni watu makatili sana. Ujuwe kwanini walishawahi kumwagiwa tindikali bahati aka survive ila sio mtu mwema.
 
Alikuwa akiwanyima wenzake "HAKI ya KUISHI" na bado alimuambia Saalah "nitakupoteza".

Huyu Jamaa ingekuwa ni Nchi zingine angekuwa Jela za Kilimo anatumikia Mvua kadhaa lakini hapa Tanzania anafanywa kuwa Mkuu wa Itikadi Uenezi na Mkuu wa Mkoa maarufu wa Utalii.
 
Alikuwa akiwanyima wenzake "HAKI ya KUISHI" na bado alimuambia Saalah "nitakupoteza".

Huyu Jamaa ingekuwa ni Nchi zingine angekuwa Jela za Kilimo anatumikia lakini hapa Tanzania anafanywa kuwa Mkuu wa Itikadi Uenezi na Mkuu wa Mkoa maarufu wa Utalii.

US hawakukosea kumpa Ban yeye na nduguze.
 
Back
Top Bottom