Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

Sio yeye bwana aliyemwagiwa tindikali jaribu kufanya research kabla ya kuongea
Ndio ukoo wao hao hao, na yule muhindi aliyemtesa mpaka kumuingiza mavitu nyuma kisa anahisi kapiga pesa? wewe ukiona watu wanajificha nyuma ya team hizi mbili sio bure ni kule kupoteza malengo lakini nyuma ya pazia ni mbwa hawa ni vile wanakula na wakubwa tu.
 
Watu hapa wanadhani Makonda shetani lakini Salah ni zaidi ya shetani watu wanajificha nyuma ya matabasamu tu lakini ni watu makatili sana. Ujuwe kwanini walishawahi kumwagiwa tindikali bahati aka survive ila sio mtu mwema.
Ukiwa tajiti lazima kuna vitu ufanye ili watu wasikuzoeee sana, vinginevyo wahuni watakuibia hovyo, ukionesha mfano kwa mmoja wao hakika watakuogopa
 
Huyo Salah ni kiongozi, sisi tunaongelea kiongozi muhalifu.
Hapa tunaongelea Makonda na Salah wana issue zao hakuna mtu msafi hapa, huyu Salah na silent ocean yake JPM alishawaongelea hawa utapeli wanaofanya serikalini ni vile wananunua watu ili wafanya uchafu wao. Kuna muhindi walimtesa vibaya sana mpaka sehemu za siri mambo ya hovyo na yule mfanya biashara wa kariakoo waliomfanyia unyama. Ni vile wanatumia pesa kununua haki za wanyonge. Issue ya Makonda hakuna mtu kaja na ushahidi wowote juu yake. Alipokuwa sio kiongozi si wangetoka watu waseme kawafanyia hivi au vile mbona kimyaa.
 
Watu hapa wanadhani Makonda shetani lakini Salah ni zaidi ya shetani watu wanajificha nyuma ya matabasamu tu lakini ni watu makatili sana. Ujuwe kwanini walishawahi kumwagiwa tindikali bahati aka survive ila sio mtu mwema.
Sasa si uende ukashtaki? Tuaminije huu upumbavu wako?
 
Sio tu kutisha anaweza ua na asichukuliwe hatua yeyote
Mtu mwenye rekodi ya jinai na anayeendelea kutishia kudhuru raia ndio mama ameona anafaaaa kwenda kumwakilisha kwenye mkoa wa kimkakati , na Makao makuu ya afrika mashariki ambako mara nyingi atatakiwa kumuwakililisha kwenye masuala ya kimataifa
 
Ati leo Makonda ndie alie onekana ana faa kuwa Rc wa Arusha!! Ni vetting ya aina gani hutumika kuwa teua majambazi kuwa watawala?
Kuna mapungufu mengi sana kwenye katiba yetu.
Yaani kiongozi akisha kuwa na mapenzi na mtu hata awe jambazi ana mpa cheo.
Makonda ni mtu wa kuwa jela na sio kuwa Rc.
Tutegemee Mama kwa aibu hii kabla ya 04 Aprili 2024 awe ame tengua uteuzi wa Makonda
Naam
 
Watu hapa wanadhani Makonda shetani lakini Salah ni zaidi ya shetani watu wanajificha nyuma ya matabasamu tu lakini ni watu makatili sana. Ujuwe kwanini walishawahi kumwagiwa tindikali bahati aka survive ila sio mtu mwema.
Haijalishi ikiwa tu kama waliofanyiwa mabaya na huyo Salaa hawajalalamika na pia haiondoi kosa la kiongozi wa umma kutishia kuua Raia. Kama Salaa ana makaosa na makonda akiwa kama kiongozi angemshitaki na sio kumtishia kumuua.
 
Utajiri wa Makonda umetokana na yeye kuwatishia kuwaua Wafanyabiashara wakubwa kama hawampi pesa...hasa Wahindi na Serikali inalijua hili ila wanalindana

CCM inalinda uhalifu kwa namna hii

Jeshi la Polisi linamwogopa Makonda, wanamwita MAFIA na Mwigulu wanamwita FIDEL

Nchi ya hovyo sana hii
 
Back
Top Bottom