Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

Kwa uzoefu wangu wa siasa za bongo. Polisi kamwe hawezi kuwa kinyume na Rais.

Kila kitu Rais atakachosema kufanya au kuamua, polisi wanakilinda, hakuna maswali.

Rais amteuwe kuwa mkuu wa mkoa halafu wao sijui wamchunguze kwa lolote? Hilo kamwe haliwezekani.

Hivyo huu ni usanii tu.
 
Yes nilikuwa namaanisha as family ni mafia hao tena wana ukatili sio kawaida.
Sasa unakosea Salah ni mtu na nusu sema kama humjui sana. Hao wengine sawa inawezekana lakin pia mtu hawez kukufuata kama hujamwingilia maslah yake. Ni kama vile umkute mbwa anakula nyama yake halafu utake kumwingilia lazima kuna moto flan utatokea kushika hela sio
 
Sasa sote tukiwa wanyama tukiingiliwa maslahi yetu nchi hii itakalika? mtu kakuibia mchukue mpeleke vyombo vya usalama haki itatendeka lakini sio kuwa na private jela nakutesa watu hii sio Afghanistan.
 
Hapa tunaongelea Makonda na Salah wana issue zao hakuna mtu msafi hapa, huyu Salah na silent ocean yake JPM alishawaongelea hawa utapeli wanaofanya serikalini ni vile wananunua watu ili wafanya uchafu wao. Kuna muhindi walimtesa vibaya sana mpaka sehemu za siri mambo ya hovyo na yule mfanya biashara wa kariakoo waliomfanyia unyama. Ni vile wanatumia pesa kununua haki za wanyonge. Issue ya Makonda hakuna mtu kaja na ushahidi wowote juu yake. Alipokuwa sio kiongozi si wangetoka watu waseme kawafanyia hivi au vile mbona kimyaa.
Uhalifu aliokuwa anafanya Makonda ulikuwa na mkono wa dhalimu magu, hakuna anayeweza kuchunguza maana kungeleta picha mbaya kiutawala. Hizo ndio huitwa Siri za serekali. Lakini kukitokea mabadiliko ya serekali hasa nje ya ccm, Makonda atakuwa mfungwa namba Moja wiki ya kwanza ya rais mpya kuapishwa. Ushahidi wa uhalifu wake uko wazi.
 
Sasa sote tukiwa wanyama tukiingiliwa maslahi yetu nchi hii itakalika? mtu kakuibia mchukue mpeleke vyombo vya usalama haki itatendeka lakini sio kuwa na private jela nakutesa watu hii sio Afghanistan.
Mtu hawez kukufanyia huo ujinga kama wewe hujaufanya mkubwa zaid lakin pia sio kila kitu kinafuata sheria mzee. Tuishie hapo
 
Back
Top Bottom