Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

Watu hapa wanadhani Makonda shetani lakini Salah ni zaidi ya shetani watu wanajificha nyuma ya matabasamu tu lakini ni watu makatili sana. Ujuwe kwanini walishawahi kumwagiwa tindikali bahati aka survive ila sio mtu mwema.
Sacar face ya salaa kwaajiri ya tindi kali?? Na ilikuwaje
 
Watu hapa wanadhani Makonda shetani lakini Salah ni zaidi ya shetani watu wanajificha nyuma ya matabasamu tu lakini ni watu makatili sana. Ujuwe kwanini walishawahi kumwagiwa tindikali bahati aka survive ila sio mtu mwema.
Unamzunguzia Salah au said chief. Kama hujui kitu ukikaa kimya utapungukiwa na nini.
 
Alihusika kumteka Roma na kuongoza genge kwenye shambulizi la Lissu, kuvamia studio za Clouds na silaha, ni kitu Gani asichoweza kufanya!? Wale waliompiga ban asikanyage kwao sio kwamba ni wajinga, taarifa zake wanazo. Ana ujasiri wa shetani huyo kichaa.

Ila asisahau, hizi sio zile zama za yule jamaa wa Chato, hao anaowatisha wanaweza kumshughulikia pia.
Sasa huyo ndio mwanamuke tena apewe nchi nitafurahi sana makonda baba tunakutgemea na tunakukubal sana
 
Hili hili jeshi au jingine? Labda.

Ila sasa nimeelewa kwanini Mo Dewji ameamua kuhamishia makazi yake Dubai, in a multimillion mansion.
Ati leo Makonda ndie alie onekana ana faa kuwa Rc wa Arusha!! Ni vetting ya aina gani hutumika kuwa teua majambazi kuwa watawala?
Kuna mapungufu mengi sana kwenye katiba yetu.
Yaani kiongozi akisha kuwa na mapenzi na mtu hata awe jambazi ana mpa cheo.
Makonda ni mtu wa kuwa jela na sio kuwa Rc.
Tutegemee Mama kwa aibu hii kabla ya 04 Aprili 2024 awe ame tengua uteuzi wa Makonda
 
Alikuwa akiwanyima wenzake "HAKI ya KUISHI" na bado alimuambia Saalah "nitakupoteza".

Huyu Jamaa ingekuwa ni Nchi zingine angekuwa Jela za Kilimo anatumikia Mvua kadhaa lakini hapa Tanzania anafanywa kuwa Mkuu wa Itikadi Uenezi na Mkuu wa Mkoa maarufu wa Utalii.
Number moja ndio ana matatizo kutukera Kwa dhati na huyo jambazi, mnyang'anyi, mtumia vyeo vibaya, mwenye Siasa uchwara
 
Back
Top Bottom