Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

Kwa uzoefu wangu wa siasa za bongo. Polisi kamwe hawezi kuwa kinyume na Rais.

Kila kitu Rais atakachosema kufanya au kuamua, polisi wanakilinda, hakuna maswali.

Rais amteuwe kuwa mkuu wa mkoa halafu wao sijui wamchunguze kwa lolote? Hilo kamwe haliwezekani.

Hivyo huu ni usanii tu.
 
Yes nilikuwa namaanisha as family ni mafia hao tena wana ukatili sio kawaida.
Sasa unakosea Salah ni mtu na nusu sema kama humjui sana. Hao wengine sawa inawezekana lakin pia mtu hawez kukufuata kama hujamwingilia maslah yake. Ni kama vile umkute mbwa anakula nyama yake halafu utake kumwingilia lazima kuna moto flan utatokea kushika hela sio
 
Sasa sote tukiwa wanyama tukiingiliwa maslahi yetu nchi hii itakalika? mtu kakuibia mchukue mpeleke vyombo vya usalama haki itatendeka lakini sio kuwa na private jela nakutesa watu hii sio Afghanistan.
 
Uhalifu aliokuwa anafanya Makonda ulikuwa na mkono wa dhalimu magu, hakuna anayeweza kuchunguza maana kungeleta picha mbaya kiutawala. Hizo ndio huitwa Siri za serekali. Lakini kukitokea mabadiliko ya serekali hasa nje ya ccm, Makonda atakuwa mfungwa namba Moja wiki ya kwanza ya rais mpya kuapishwa. Ushahidi wa uhalifu wake uko wazi.
 
Sasa sote tukiwa wanyama tukiingiliwa maslahi yetu nchi hii itakalika? mtu kakuibia mchukue mpeleke vyombo vya usalama haki itatendeka lakini sio kuwa na private jela nakutesa watu hii sio Afghanistan.
Mtu hawez kukufanyia huo ujinga kama wewe hujaufanya mkubwa zaid lakin pia sio kila kitu kinafuata sheria mzee. Tuishie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…