Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

Siku yaja watang'oa hizo android radios na hayo maspika mnajaza kwenye buti na chini ya viti.

Inasemekana ndiyo yanafanya Dualis zilipuke mnapotumia kina Fundi Maiko.

Mnatakiwa muongeze mafuta tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…