Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

Si kweli mkuu, kuna kampuni zilizopewa vibali na viwango vya kutengeneza hizo pleti namba. Hizo 3D ziko nje ya viwango vya TBS na pia zinatengenezwa mitaani bila ya kuwa na vibali wala leseni. Kumbuka TBS ndio wanatoa vipimo vya ukubwa wa hizo herufi na namba, nafasi kati ya herufi na herufi, na nafasi kati ya namba na namba. Lazima mchakato ufuatwe ili kuweka viwango vipya na mamlaka husika (TBS) na hao watengenezaji wa 3D wafuate taratibu.
Duuuuh.... yani serikali iliruhusu watu wakabadilishe muonekano wa vibao, kwa sharti la kutumia kampuni zilizopewa vibali na viwango ?

nimeamini third world tunashindwa kujitawala, aiseee..... duuuuh

kwa hiyo hii basi ni fursa adhimu. Naweza kuomba serikali inipe vibali na viwango vya kubadilisha muonekano wa passport za Watanzania !
 
una chuki za kifala kabisa.Kwani hizo sheria wanazotekeleza polisi walitunga wao?Mbona hulichukii bunge lililopitisha & kutunga sheria hizo.!

Tutii sheria za nchi;kutii ni uzalendo kwa nchi.
Itakuwa wewe ni police unajaribu kuwatetea wenzako ..siku ukiigia kwenye 18 za police ndio utaelewa
 
Back
Top Bottom