Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

Masasi sign & co. kama hausiki na huu unoko ni bahati make ye analipa kodi afu bei yake ipo chini ila hawa wa 3D bei ipo juu na kodi hawalipi.
Po pote ukimuita kafika na super glue yake anakubandikia unampa zake mnaachana.

Hii kazi niwahikikishie Masasi ataifanya kwa baadae
 
Niambie ni sheria ipi Tanzania inasema plate number ikiwa nje ya viwango unaing'oa?

Au niambie Plate number zikiwa nje wa kiwango zinaathiri vipi usalama barabarani?

Au Ni wapi kuwa nje ya viwango vya TBS kwa Plate number kumehesabiwa kama kinyume cha sheria?
Bado nasubiri sheria hizo mkuu
Umeamua kuweka ligi, nadhani endelea kujua unavyojua. Yaani leo uingize bidhaa sokoni ikiwa njeya viwango, alafu uachwe tu.
 
Duuh kwahiyo unataka kusema kwamba wanaotengeneza hizo 3Ds, wanashindwa kujua criteria na dimensions zilizowekwa na TBS, hata kwa kukopi tu kutoka kwenye hizi za zamani
Hawa wa 3D wanachofanya ni kubandika hiyo minamba yao juu ya plate namba ambazo zimetengenezwa na makampuni yenye vibali. Hizo 3D ziko nje ya utaratibu, labda sheria zibadilishwe na viwekwe viwango vipya.
 
Naomba sheria au kanuni au Muongozo unaokataza Matumizi ya 3D kama unao..
Maana umetaja sheria bhasi ukinipa sheria itakuwa vizuri zaidi maana sheria ndo huzaa Kanuni na Miongozo..

Nipo nasubiri mkuu maana sheria ya Usalama barabarani ninayo na haina ulichosema..
Mayb ni sheria mpya..

So i am waiting.....
Mbona unajiita DR na unakuwa mvivu hata wa kugoogle na kuujua ukweli? Fungua hiyo attachment then soma Annex C uongeze maarifa
chrome-extension://efaidnbmnnnibpcajpcglclefindmkaj/https://members.wto.org/crnattachments/2018/TBT/TZA/18_2114_00_e.pdf
 
Kwenye mambo yasiyo kua ya msingi hua wako vizuri kuyatekeleza kwa haraka
 
Niambie ni sheria ipi Tanzania inasema plate number ikiwa nje ya viwango unaing'oa?

Au niambie Plate number zikiwa nje wa kiwango zinaathiri vipi usalama barabarani?

Au Ni wapi kuwa nje ya viwango vya TBS kwa Plate number kumehesabiwa kama kinyume cha sheria?
Bado nasubiri sheria hizo mkuu
Punguza ujuaji DR. Hii ni sehemu ya document ndani ya link niliyoshare nayo. Lazima hizo sizes, space and margin zifuatwe. 3D ziko nje ya hivyo viwango
1709180354066.png
 
Hawa wa 3D wanachofanya ni kubandika hiyo minamba yao juu ya plate namba ambazo zimetengenezwa na makampuni yenye vibali. Hizo 3D ziko nje ya utaratibu, labda sheria zibadilishwe na viwekwe viwango vipya.
Mkuu ni either haujui hizo mamlaka zinachotaka au unajua ila umeamua tu kubisha kwa makusudi
 
Umeamua kuweka ligi, nadhani endelea kujua unavyojua. Yaani leo uingize bidhaa sokoni ikiwa njeya viwango, alafu uachwe tu.
Mbona hujibu hoja Mheshimiwa..
Umetaja sheria na Kanuni na miongozo..
Nimeomba hiyo Sheria na kanuni na hiyo miongozo ila umeona nimeweka Ligi?
 
Zina shida gani?
Hizo number shida yake kubwa iko ktk usalama, watu wengine wanatumia upenyo huo kuichezea hiyo tarakimu moja tu basi humpati tena mhalifu maana ukiisoma ikiwa ime badilika hauwezi kuipata ktk system ya Serekali.
 
Kwa mfano gari yanye namba T 838 ZZZ na ikawa imewekewa plate number ya 3D, ikiibiwa na kubadilishwa kuwa T 888 ZZZ ni kitu rahisi sana, kwani unabandua hiyo 3 unaweka 8 ndani ya sekunde chache tu.
Kama una make sense hivi...
 
Mbona unajiita DR na unakuwa mvivu hata wa kugoogle na kuujua ukweli? Fungua hiyo attachment then soma Annex C uongeze maarifa
chrome-extension://efaidnbmnnnibpcajpcglclefindmkaj/https://members.wto.org/crnattachments/2018/TBT/TZA/18_2114_00_e.pdf
Mkuu huenda hujui shida ilipoanzia shida ilipoanzia ni kuwa Dealers wa Plate number walikosa Wateja na wakaanza kulalamika kwa serkali na hata Ukisikia polisi wanachosema cha kwanza kuuliza ni risiti...

View: https://youtu.be/lKWpn7Qx5CA?si=i8Un0k9BZ1FA07OC
 
Punguza ujuaji DR. Hii ni sehemu ya document ndani ya link niliyoshare nayo. Lazima hizo sizes, space and margin zifuatwe. 3D ziko nje ya hivyo viwango
View attachment 2919727
Sasa ingekuwa vizuri kama ungeweka na 3D ukaonyesha margin zake kama sio +_5

-Doccument Nimeisoma vizuri sana na ninayo..

Swali kwanini TBS wasitoe wao ufafanuzi ila polisi ndo walishikie bango?
 
Attachments

  • C35E093C-28F2-4B6E-B184-E63A050CC2A3.jpeg
    C35E093C-28F2-4B6E-B184-E63A050CC2A3.jpeg
    893.2 KB · Views: 3
  • 6E2EC1C1-7A0D-4270-8581-AACD6A382EF8.jpeg
    6E2EC1C1-7A0D-4270-8581-AACD6A382EF8.jpeg
    1.4 MB · Views: 4
  • 669E9E76-2FD5-4612-BE45-E593C2AE7BBC.jpeg
    669E9E76-2FD5-4612-BE45-E593C2AE7BBC.jpeg
    1.1 MB · Views: 4
Jeshi limekosa kazi za Kufanya
Bilashaka walishatoa tahadhari na wakasema kwanini hazitakiwi,moja ya sababu ni kutosomeka katika mazingira flani,na nadhani kuna uzi humu,hadi mifano ilitolewa.
 
Back
Top Bottom