Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Nimekutana na Shangingi moja jeusi nalo limenyolewa kikavuKama utani operesheni ndio imeanza usije ukasema hujaambiwaView attachment 2918540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekutana na Shangingi moja jeusi nalo limenyolewa kikavuKama utani operesheni ndio imeanza usije ukasema hujaambiwaView attachment 2918540
haki inaambatana na wajibu 🐒Tanzania huna haki huna haki tuu ... Huna sautii huna sauti tuu...huna faranga huna faranga tuuu. Maisha yanasonga mbele kwa mbele
Maelezo Ya Mwaka Jana Walisema Hazina Tatizo Muhimu Tu Zisomeke Leo Imekuwaje TenaZina shida gani?
Yeah ndiyo maana nikasema hii nchi mamlaka zinapenda urasimu kila mahalikama nakumbuka vizuri sababu yao walisema wao kama mamlaka hawajashirikishwa[emoji389]
Hakuna lolote hapo usifikiri mamlaka za hii nchi sisi hatuzifahamu, lengo lao ni kutaka tu kushirikishwa ili wapate hela kupitia huo mfumo, baada ya muda utasikia zimerasimishwa na hiyo sababu ya sijui ni rahisi kutamper nazo hutaisikia tenaPunguza ujuaji, tulishatangaziwa zaidi ya miezi mitatu iliyopita. Hizo namba ni lazima zifuate vipimo na specifications kama ilivyopangwa na TBS. Sasa wewe unachukua namba zimetengenezwa na kampuni iliyopewa kibali mfano Masasi signs unaongezea urembo wako ili iweje. Unakiuka vigezo vilivyowekwa na unatumia vikampuni vya mtaani ambavyo havina vibali vya mamlaka husika. Tujifunze kufuata sheria na taratibu, hizo 3D namba ni rahisi sana mtu kutemper nazo.
Hata mimi nimeshangaa mkuu, yani kama kuna mtanzania bado hajui mamlaka za hii nchi jinsi zinavyofanya kazi kiasi cha kuunga mkono kila wanachokataza, basi asikitikiwe na apewe pole nyingiBado hujaeleza zina shida gani??
Japo umemwambia Mjuaji..
Maana kama 3D ina tatizo labda inasababisha Ajali pia tujue
Bwana mdogo mchungulie kwenye zipu ya suruali yako.As long as tutazeeka wote what's your point bwana mdogo
Si kweli mkuu, kuna kampuni zilizopewa vibali na viwango vya kutengeneza hizo pleti namba. Hizo 3D ziko nje ya viwango vya TBS na pia zinatengenezwa mitaani bila ya kuwa na vibali wala leseni. Kumbuka TBS ndio wanatoa vipimo vya ukubwa wa hizo herufi na namba, nafasi kati ya herufi na herufi, na nafasi kati ya namba na namba. Lazima mchakato ufuatwe ili kuweka viwango vipya na mamlaka husika (TBS) na hao watengenezaji wa 3D wafuate taratibu.Hakuna lolote hapo usifikiri mamlaka za hii nchi sisi hatuzifahamu, lengo lao ni kutaka tu kushirikishwa ili wapate hela kupitia huo mfumo, baada ya muda utasikia zimerasimishwa na hiyo sababu ya sijui ni rahisi kutamper nazo hutaisikia tena
Hiyo sababu yako haiwezi kuondoa hoja yangu hata kidogo, tujitahidi kufuata sheria na taratibu zilizowekwa. TBS imeweka viwango vya hizo plate namba, ikiwemo dimensions za namba na herufi, pia nafasi kati ya neno na neno, na nafasi kati ya herufi na herufi. Unakuta mtu ameongeza malogo yake na maurembo kibao kwenye plate namba na huku ni kinyume cha utaratibu.Kwani mbona watu wanaiba Gari na wanabadili Plate nzima??
Hiyo sio sababu hata kidogo..
Watu wanaiba gari inapachikwa Palte ya trekta au ya gafi yiyote mbovu ngoma inasonga..
BAdo sioni sababu
Huwezi kwenda kinyume na sheria alafu ukajaribu kuleta umwambaOoh. Hapa nimeekewa. Wazitoe.
Iko nje ya viwango vilivyowekwa na TBS, ikiwemo ukubwa wa maandishi (dimensions) na spacing. Hakuna tatizo lingine zaidi ya kuwa nje ya viwango vya TBS.Bado hujaeleza zina shida gani??
Japo umemwambia Mjuaji..
Maana kama 3D ina tatizo labda inasababisha Ajali pia tujue
Naomba sheria au kanuni au Muongozo unaokataza Matumizi ya 3D kama unao..Hiyo sababu yako haiwezi kuondoa hoja yangu hata kidogo, tujitahidi kufuata sheria na taratibu zilizowekwa. TBS imeweka viwango vya hizo plate namba, ikiwemo dimensions za namba na herufi, pia nafasi kati ya neno na neno, na nafasi kati ya herufi na herufi. Unakuta mtu ameongeza malogo yake na maurembo kibao kwenye plate namba na huku ni kinyume cha utaratibu.
Niambie ni sheria ipi Tanzania inasema plate number ikiwa nje ya viwango unaing'oa?Iko nje ya viwango vilivyowekwa na TBS, ikiwemo ukubwa wa maandishi (dimensions) na spacing. Hakuna tatizo lingine zaidi ya kuwa nje ya viwango vya TBS.
Duuh kwahiyo unataka kusema kwamba wanaotengeneza hizo 3Ds, wanashindwa kujua criteria na dimensions zilizowekwa na TBS, hata kwa kukopi tu kutoka kwenye hizi za zamaniSi kweli mkuu, kuna kampuni zilizopewa vibali na viwango vya kutengeneza hizo pleti namba. Hizo 3D ziko nje ya viwango vya TBS na pia zinatengenezwa mitaani bila ya kuwa na vibali wala leseni. Kumbuka TBS ndio wanatoa vipimo vya ukubwa wa hizo herufi na namba, nafasi kati ya herufi na herufi, na nafasi kati ya namba na namba. Lazima mchakato ufuatwe ili kuweka viwango vipya na mamlaka husika (TBS) na hao watengenezaji wa 3D wafuate taratibu.