Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

Ni ujinga tu kwani 3D number plates zina shida gani, tena mimi naona hizo ndio nzuri na zinapendeza kwenye Gari kuliko hizi za zamani, hii nchi mamlaka huwa zinapenda urasimu kwenye kila jambo bila sababu
Punguza ujuaji, tulishatangaziwa zaidi ya miezi mitatu iliyopita. Hizo namba ni lazima zifuate vipimo na specifications kama ilivyopangwa na TBS. Sasa wewe unachukua namba zimetengenezwa na kampuni iliyopewa kibali mfano Masasi signs unaongezea urembo wako ili iweje. Unakiuka vigezo vilivyowekwa na unatumia vikampuni vya mtaani ambavyo havina vibali vya mamlaka husika. Tujifunze kufuata sheria na taratibu, hizo 3D namba ni rahisi sana mtu kutemper nazo.
 
Hahahahaha..Taifa la watu waliochanganyikiwa ...si waweke sheria tu?..sasa jitu zima linachuchumaa na kisu kubandua herufi moja moja kweli?...utabandua mangapi?...recruitment ya watu waliofeli haya ndio matokeo yake sasa.....mkiambiwa nendeni shule hamtaki kazi uchawa tu...hahahaha
 
Punguza ujuaji, tulishatangaziwa zaidi ya miezi mitatu iliyopita. Hizo namba ni lazima zifuate vipimo na specifications kama ilivyopangwa na TBS. Sasa wewe unachukua namba zimetengenezwa na kampuni iliyopewa kibali mfano Masasi signs unaongezea urembo wako ili iweje. Unakiuka vigezo vilivyowekwa na unatumia vikampuni vya mtaani ambavyo havina vibali vya mamlaka husika. Tujifunze kufuata sheria na taratibu, hizo 3D namba ni rahisi sana mtu kutemper nazo.
Kutemper nazo How? Anyway, wazitoe tu. Mm sikuwahi zipenda ila logic sioni maana ni namba tu na zinasomeka vizuri.
 
Kwa mfano gari yanye namba T 838 ZZZ na ikawa imewekewa plate number ya 3D, ikiibiwa na kubadilishwa kuwa T 888 ZZZ ni kitu rahisi sana, kwani unabandua hiyo 3 unaweka 8 ndani ya sekunde chache tu.
 
Back
Top Bottom