Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Kumbe hawana kazi za kufanya uko vituoni kwao za muhimu mpk kuja kuhangaika na wananchi wa 3D police police apa mnatafuta la rohoniKama utani operesheni ndio imeanza usije ukasema hujaambiwaView attachment 2918540
kama nakumbuka vizuri sababu yao walisema wao kama mamlaka hawajashirikishwa💸Ni ujinga tu kwani 3D number plates zina shida gani, tena mimi naona hizo ndio nzuri na zinapendeza kwenye Gari kuliko hizi za zamani, hii nchi mamlaka huwa zinapenda urasimu kwenye kila jambo bila sababu
Yale magumu huwaoniMambo wanayoweza
Hahaa Kama utani, lakini itatokea...Siku yaja watang'oa hizo android radios na hayo maspika mnajaza kwenye buti na chini ya viti.
Inasemekana ndiyo yanafanya Dualis zilipuke mnapotumia kina Fundi Maiko.
Mnatakiwa muongeze mafuta tu.
Utazeeka sura kwa kutaka kuwa serious kwa vitu lainilaini.Kua serious kwenye thread za watu ndugu....kama vipi ungeenda thread ya vichekesho uongee huu upuuzi wako
Kua serious kwenye thread za watu ndugu....kama vipi ungeenda thread ya vichekesho uongee huu upuuzi wako
Wewe si unawapigia debe huku kila uchwao...hili pia sifa kwa Samia kwa kuunda serikali ya watu makini.Soon utasikia wame upgrade mashine zao sasa magari yote yawe na 3D akili za mamlaka zetu zinajijua zenyewe
Washirikishwe ili wapige 10% zaokama nakumbuka vizuri sababu yao walisema wao kama mamlaka hawajashirikishwa[emoji389]
Ili wapige hela..kama sukari tu inaongozwa na watu wachache mwenye 1D kalalamika kuwa 3D kaja kwa kasi.
Yani nchi hii hata neno cola la kinywaji inabidi kuomba kibari kwa mfalme
tabularasaKua serious kwenye thread za watu ndugu....kama vipi ungeenda thread ya vichekesho uongee huu upuuzi wako
Sijakuelewa!
Kataa rushwa, usitoe rushwa wala kupokea rushwa.Onyo lilishatolewa mapema! Kazi iendelee!
Hela ya kubrush viatu ni halali yao.