Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki

Kama matukio ya wazi wazi hawajachukua hatua sembuse hili?Rejea Dk.Ulimboka, uvamizi clouds, mauaji Ruvu,Nape na bastola man,n.k. Rai yangu: Tuendeleeni tu kupongeza kwani nchi "inanyooshwa".
 
Sirro anatakiwa aelewe,wahalifu hawateki kwa uwazi hivyo mpaka wanaonekana!Wahalifu waende kumteka mtu wabebe TV na computer?Hell no,lazima mamlaka zinahusika!Wasituletee upuuzi
 
Nisingetegemea liseme tofauti
 
Sasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
EBU TUFAFANULIE KIDOGO, ao chama mfu ndyo nani? na kama wanakikundi cha ugaidi na utekaji inapaswa taarifa zao tuzifikishe polisi kwa msaada zaidi.....
 
eyes tell everything,some people look like real torturing psychos
hivi lile mwigulu nchemba bado lipo kwenye cheo chake!!!!!
read my signature cowards.
 
Hivi inakuwaje mpaka watu wanaingia ndani wanawachukua watu wapatao watano bila ya kuwaambia kuwa sisi ni akina nani na mnatakiwa kwenda wapi.
Hata aliemtolea bastola hadharani mh. Nape, hakujitambulisha. Tushukuru uwepo wa kamera nyingi bila hivyo huenda na yeye angepotea!
 
Wajaribu kuwaangalia msitu wa pande... Kuna kila dalili za kung'olewa kucha etc.
 
Hivi mkono mrefu wa serikali tuliosimuliwaga tangu udogoni si ni polisi yenyewe kupitia upelelezi!?
Vipi, 'mkono' umekumbwa na kansa na kuanza kuwa mfupi au kulikoni. Maana najaribu kuwaza matukio mabaya kwa miaka ya karibuni na wale majambazi wa mbagala/vikindu then wananchi ndio wanaombwa kupeleka taarifa zinazohusiana na mtu aliyepotea mbali na hapo itatoka kama Ben Saanane?! Mbona kuna taarifa za wavamizi wa studio na wamiliki wa vyeti feki lakini hakuna taarifa!?
 
Hakuna mwenye haki ameachwa na mungu damu ya yesu itanena mema
 
ni lini waliwahi kukubali maana hata kwa NEY walikataa katu mpaka juma pondamali Mensah alipojibaraguza kutafuta kiki kuzima sekeseke la BASHITE academic credentials baada ya ile drama ya magari bandarini kubuma
 
 

Tokea ' Uhuru ' Tanzania hatujawahi kuwa na bahati mbaya ya kuwa na Jeshi bovu la Police kama ambalo tuko nalo sasa. Logically tu ni bora hata huyo Sirro asingejitokeza na angekaa tu kimya kuliko ' kufyatuka ' hivi halafu anaonyesha ' udhaifu ' wake mkubwa na wa taasisi aliyopo. Acheni tu Wazungu watudharau Waafrika!
 
Tanzania now tunahitaji jeshi la police la kimataifa kutulinda...
 
bashite anajua alipo kawaficha muda muafaka aseme amewaokoa apate kiki. bashite kweli 0
 
Me nasema kuna jambo la kufanya.

Tume huru idaiwe mapema Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…