Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani ben katekwa na nani??
Huwa hawakubali na wao siyo wajinga.Hata BEN SAANANE si walisema hivi hivi?
usalama wa wananchi upo wapi.na hii tabia ya kuchukuwaa watu bila taarifa za ndugu na jamaa .si ngeni kwa mtindo huu.je wajibu wetu kama raia kujua sheria.
huyu ni roma leo kila mtu anataka kujua.je makapuku kama sisi..?
Ni hatar sana!Haya yanayoendelea kesho wananchi wakilianzisha na aina ya watekaji kama hawa ndipo Jeshi la Polisi litakapo baini kuna tatizo mahali. Haishangazi kama watu wanafikia kumtolea Bastola aliyepata kuwa Waziri mchana kweupe mbele ya Kadamnasi . Hivyo kumteka mtu yoyote yule haiwezi kuwa jamabo la kushanga. Chakushangaa ni Wananchi tumechukua hatua gani ili hili kutogeuka kuwa sehemu ya Maisha na utamaduni wa kawaida?
Subirini kuokota maiti kwenye viroba mto ruvuJeshi la polisi Dar kupitia kwa kamanda Simon Sirro limekana kuhusika kwa lolote lile lililomtokea msanii Roma Mkatoliki na kwamba linafanya jitihada kumpata.
Jeshi hilo limeomba mtu mwenye taarifa zinazomhusu msanii huyo kupeleka taarifa kwao mara moja.
Msanii huyo alitekwa juzi jioni akiwa ndani ya studio za Tongwe records pamoja na wenzake na mpaka sasa hajulikani alipo na yupo katika hali gani.
Aidha upo uvumi unaoenezwa ndani ya mitandao na vijiweni kuwa huenda msanii huyo amefikwa na "mabaya" hali ambayo imezua taharuki kubwa miongoni mwa wasanii.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfu mama yako, acha matusi jenga hoja. Matusi ya nini?
Wote tumetukana, but I have a cause to do so! Nalipa deni. Tunahimizwa kulipa madeni yetu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kati yako wewe na yeye ni nani katukana?
Ushauri wako ni mzuri mkuu. Lakini elewa ili akamatwe mtu lazima awe anaitumia hiyo cm. Kama imetelekezwa tu huwezi kumkamata mtu.simu yake ipo online whatsapp na ikipigiwa inaita..
ile technologia inayotumika kuwakamata wanaowatukana viongozi si itumike kutrack yuko wapi??
au hako ka technologia ni kwaajili ya kuwalinda wakubwa tu
HAPANAWote tumetukana, but I have a cause to do so! Nalipa deni. Tunahimizwa kulipa madeni yetu!
Mwambieni huyo Bosi wenu, Kesho kabla jua halijazama, ROMA awe ameshaachiwa huru, La sivyo wananchi tutajua cha kumfanya!Sasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
ni wajibubwa polisi kulinda usalama wetuSasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
Ni wajibu wa rais kuwa na adabu!ni wajibubwa polisi kulinda usalama wetu
inabidi watupe taarifa inayoeleweka sio mpaka mtu mwenye taarifa ndo aktoe
wanavowakamataga wasanii wanaotunga nyimbo za kuikashfu serkali nan hua ana wapa taarifa??
Sasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
Watu wakijiuliza maswali kama hayo huenda tutajua mapema kilichowapata. Lakini nionavyo wamekwisha fanya hitimisho hasa upande wa kisiasa wamekwisha amua kulaumu vyombo vya usalama.Yaani, nimejiuliza mkuu bila ya kupata jibu kiongozi.
Kwa sababu mpaka vitu vinapandishwa kwenye gari walikuwa wanajua wanapelekwa wapi, sasa katika hali kama hiyo nafkiri walipaswa kujua wale waliowakamata ni wakina nani na wanawapeleka wapi wangeweza kuwajulisha hata ndugu na jamaa kuwa wanelekea sehemu gani ingekuwa rahisi kufaham.
Mimi siamini kama mtu unaweza kuchukuliwa tu pamoja na mizigo yako ukapelekwa sehemu usiyoijua na afadhali angekuwa peke yake kulikuwapo watano kisha msihoji na msitoe taarifa kwa ndugu na jamaa.
Inaleta kizungumkuti unajua.