Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki

Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki

Nashangaa upumbavu wa baadhi ya watz hasa wa jf,
Watu hasa wapinzani mnafanya matukio alafu mnaanza habar za kutupa lawama kwa serikali
Pole kwa mama yako aliyekuzaa
 
p
Inasikitisha sana... kwa hali ilivyo hata hao watekaji hawatawaachia kwasababu watu wata question zaidi tofauti na ilivyokua kwa Nay wa mitego. what happened kwa Ben Saanane ndio kinachoenda kuwatokea hao wenzetu. INATISHA JAMANIII... nimemsikiliza mke wake uwiii hadi tumbo limenikata
polee mke mdogo,inasikitisha.
 
Polisi nao nashindwa kuwaelewa aliyemtolea bastola mh. Nape wakamkana pia hata hao waliovamia Tongwe record wanakana kuwafahamu. Wanamuhofu nani? Kama ni majambazi wawakamate basi. Watumie mbinu za kiasikari .
 
Mimi nina akiri zangu timamu Elimu kiasi imenijenga sirro yupi mnaemsema ambae natumwa na Makonda kamkamte Flani ujinga mtupu kwanza wangesema aliyemtolea bastora Nape kahukumiwa au kakamatwa ningewaelewa wasifanye wantanzania wote wajinga ndo maana wanaangaika na kuzima mitandao wakijua mambo wanayofnya tutapata taarifa zao
 
Duh bashite huyuuuu sijui ndo Mkuu wa nchi au? Maana kichwa kimekuwa kikubwa
 
Serekali itolee ufafanuzi kuhusu hili kundi là magaidi linaloshamiri kwa kuteka watu na kuwatisha na bastola.. Hata ndg Nape alitishiwa na bastola na magaidi hawa(maana serikali ilisema si polisi) .Serikali itangaze hali ya hatari m'aana nchi imevamiwa na magaidi
 
Sasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
Tatizo lenu mmejawa na siasa mnashindwa kutenganisha siasa na mambo ya kijamii watu wamepotea badala ya kuweka vichwa pamoja Kama ndugu tutafakari approach mnaanza kuleta mambo ya vyama hapa? Ngoja likufike mwanao mkeo mumeo au ndugu wa karibu atoweke Kama Ben au Roma tuone Kama utaandika upuuzi Kama huu
 
Hapa ni kama tunapoteza muda tu kama yupo WhatsApp online maana yake usalama wa taifa wanajua yupo wapi hapa mambo mawili lazima moja litokee 1.Bashite atamwachia ili awe hero au 2.Dogo atakuwa ameshahamia ulimwengu mwingine yale yale ya Ben saanane(Kagame style)
 
mimi naona wasanii uchwara wasioelewa thamani ya kua msanii na kuimba nyimbo zisizokua na maadili na heshima kwa jamii washitakiwe kwa mujibu wa sheria. upinzani siku hizi wamechanganyikiwa wanaporomosha mitusi ya nguoni hadi kwa
rais wa jamhuri. wasanii wapinzani nao kadhalika. wasanii kama kioo cha jamii bila maadili ni hatari kwani wanaweza hata wenyewe kwa wenyewe kutekana nyara.
Mkuu mbona kama unahusika na utekaji?
 
Hivi aliyempa nguvu Hermann Goring ya kuunda gaheime staatspolizei ni nani ?
 
"Watakapotumaliza sisi watawageukia nyie, hakuna atakayepona". Walianza n.a. madaktari hawakutuhusu. Wakaja waalimu tuliwadharau.Wakageukiwa wapinzani tukasema viherehere vyao.Wakafuatiwa waliokataa usanii wa uchaguzi ikawa poa tu.Wasanii hawajasahaulika tunagutuka wigo unapanuka.Siku hizi wafanya biashara wanasakamwa na TRA kigugumizi.Siku wazazi/walezi wakishindwa kutimiza majukumu ya msingi labda akili na ufahamu utarejea! SWALI: Tutakuwa na muda na nafasi ya kutenda?
 
Sasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
Ndio maana mmepewa dola kulinda watu na mali zao!Hatujawapa ridhaa mje kulalamika,we want answers!Kama mmeshindwa kaeni kando,period!
 
Back
Top Bottom