Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kikanuni jeshi la Polisi popote pale duniani haliteki watu (KIDNAPING) bali linakamata (ARRESTING) tena kwa arresting order au hata warrant, zoezi ambalo ni la wazi mtu anapokuwa arrested anahaki ya kuwasiliana na ndugu zake au hata wanasheria wake nk masuala ya kuteka mara nyingi hufanywa na vitengo 'SPECIAL UNITS' vya wanausalama wa michepuo ya kijasusi ktk nchi hawa ndio huwachukua watu kimyakimya wakati mwingine hata bila taarifa kwa mamalaka zingine kujua, hawa huwa hatari sana ktk utawala wa haki ktk Taifa, rejea utendaji wa The State Research Bureau huko Uganda wakati Idd Amin Regime.Jeshi la polisi Dar kupitia kwa kamanda Simon Sirro limekana kuhusika kwa lolote lile lililomtokea msanii Roma Mkatoliki na kwamba linafanya jitihada kumpata.
Jeshi hilo limeomba mtu mwenye taarifa zinazomhusu msanii huyo kupeleka taarifa kwao mara moja.
Msanii huyo alitekwa juzi jioni akiwa ndani ya studio za Tongwe records pamoja na wenzake na mpaka sasa hajulikani alipo na yupo katika hali gani.
@
Aidha upo uvumi unaoenezwa ndani ya mitandao na vijiweni kuwa huenda msanii huyo amefikwa na "mabaya" hali ambayo imezua taharuki kubwa miongoni mwa wasanii.
usiwe na siasa kila seheme kama lingetokea kwa mama ako au baba yako ukudhubutu kutoa kauli kama hizo za kisiasa za chama mfu kama huna chakuchangia usiharibu mb na chaji yakoSasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
Usiseme serikali sema Bashite maana ndiyo Kageuka mariamungu wa MaguHata ikiwa serikali hakujihusisha Na Tukio la kutekwa na kupotea kwa msanii Roma serikali haitakwepa lawama hiyo. Kuna uwezekano kwa kikundi cha watu wametumia udhaifu wa serikali wa kutochukua hatua kwa vitendo vilivyotokea siku za nyuma kwa mfano ule uvamizi katika studio ya Clouds Fm na kile kitendo cha wale watu wasiojulikana waliomtishia kwa bastola aliyekuwa Waziri Mheshimiwa Nape Nauye.
Serikali isiwe na double standard katika yanayohusu usalama wa nchi hii ni jukumu la serikali kulinda usalama wa raia wake. Nashindwa kujua kwanini serikali inashindwa kuelewa hawa vijana wapo wapi wakati baada ya familia kutoa ripoti simu zao zilikuwa hewani.
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika.
Naomba unielewe sijasema serikali inahusika soma vizuri thread kabla hujatoa silly comments.Kuna siku mtachukuliwa wake zenu na wabazazi mtailaumu serikali ndio chanzo