Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki

Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki

acheni kuishi kwa matukio...... kila kitu kikifanyika mnamwaga lawama kwa viongozii...." una uhakika gani serikali inahusika na upotevu wa huyo jamaa' siku nyingine uki post jaribu kuja na fact na si kuja na upotoshaji
Jamaa yangu unaonekana hutambui na hujui majukumu ya serikali kwa raia (wananchi) uliza ueleweshwe siyo kishupaza shingo.
 
Tunajadili humu lakini kuna taarifa ROMA MKATORIKI keshamalizwa
 
Tunakoelekea watu watakataa hata kutii maana kwa upotevu huu hapana nihatari, zilianza ndege sasa hadi binadam na watanzania walivyo wajinga siku zote wanasema niusanii mpaka mtu anasahaulika hivi hivi [HASHTAG]#poorTanzanians[/HASHTAG]
 
acheni kuishi kwa matukio...... kila kitu kikifanyika mnamwaga lawama kwa viongozii...." una uhakika gani serikali inahusika na upotevu wa huyo jamaa' siku nyingine uki post jaribu kuja na fact na si kuja na upotoshaji
Soma post yangu kabla ya kutoa comments zako hapa sikusema serikali imehusika.
 
Kazi ya Bashite ak.a mariamungu
Ha ha ha Mkuu umenichekesha sana! Huyu Malyamungu Mpambe wa Idd Amin alikuwa na vituko sana!

Kuna kipindi Idd Amini alipoona mambo yamekuwa magumu alimwambia Major MalyaMungu nakuachia NCHI!
 
Mkuu mbona kama unahusika na utekaji?
usiwe mvivu wa kufikiri. mimi nimejaribu tu kuona kama inawezekanaje mroma mkatoliki na wenzake wawe wametekwa badala ya kukamatwa kwa mujibu wa sheria kama kuna kosa.
 
Habari wadau!

Ni dhahiri kuwa waliomteka Roma Mkatoliki ni serikali kwa mwenye akili timamu ukitafakari utekaji ule kulingana na maelezo ya walikuwepo ni wazi serikali inahusika.

Wamewachukua watu waliowakuta studio then wakabeba na laptop na computer ya studio nini maana yake?

1. Wanaamini kuwa kuna madini yasharekodiwa hivyo kwenda kuyachunguza yana madhara gani kwa taifa na utawala huu usiotaka watu waseme ya moyoni.

2. Jambazi akikutaka kwa mfano Undertaker huwa habebi mali za muhusika ili kuficha ushahidi rejea mauwaji wa RPC wa Mwanza.

3. Waliomuuwa Dr Mvungi ni jamii hii hii kwanini walibeba laptop ya Dr na hawakuwabeba na familia yake. Huu ushahidi tosha jamuhuri inahusika.

4. Hili la Roma kama yule aliyemtishia bastola Nape mpaka leo wako kimya na ilikuwa mchana hawa wa usiku ndo watapatikana?

5. Bila shaka jamuhuri inahusika ni ngumu kukiri leo yule mwongo atawapa maneno matamu kulingana na upepo ulivyo lakini hakuna jipya zaidi ya kujiosha.
 
Aliowataja wanaohusika na madawa kwanini hamfikirii wanaweza kuhusika? Na labda wameenda kufanyia kazi zao huko walipo, kama kawaida hadi watakapojitokeza kwa mtu kusema kawaona au kaona mienendo ya ajabu mahala. Hapo ndipo polisi wataitwa kwenda kuwakuta walipo.

Suala hili limekuzwa sanaaaaaaaaaa kuliko lilivyotokea. Kila mtu ni ya kusikia nkuturn kuwa mshauri/mpelelezi/kuandika uongo.

Mtu wa kutenda mabaya haswaaa hawezi kuwachukua kihivyo, na mtaani huko CCTV zipo?

Hadi sasa hakuna anayetokeza kusema ilikua hivo au vile, story nyingi na uongo juu. Nani ataamini ipi ya kweli, muache kuchochea mambo. Subirini khaaaaa
 
Show Me your Friends, I will tell You Who You Are..
Marafiki wa Mkulu wanajieleza dhahiri possibly ame adopt hzi techniques kwao
 
Back
Top Bottom