Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
serikali imekumbwa na ombwe la uongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yangu unaonekana hutambui na hujui majukumu ya serikali kwa raia (wananchi) uliza ueleweshwe siyo kishupaza shingo.acheni kuishi kwa matukio...... kila kitu kikifanyika mnamwaga lawama kwa viongozii...." una uhakika gani serikali inahusika na upotevu wa huyo jamaa' siku nyingine uki post jaribu kuja na fact na si kuja na upotoshaji
Soma post yangu kabla ya kutoa comments zako hapa sikusema serikali imehusika.acheni kuishi kwa matukio...... kila kitu kikifanyika mnamwaga lawama kwa viongozii...." una uhakika gani serikali inahusika na upotevu wa huyo jamaa' siku nyingine uki post jaribu kuja na fact na si kuja na upotoshaji
BASHITE is the man, behind all this!... Ndio maana uhuni wote huu unatokea Dar es salaam tu!Kuna siku mtachukuliwa wake zenu na wabazazi mtailaumu serikali ndio chanzo
Ha ha ha Mkuu umenichekesha sana! Huyu Malyamungu Mpambe wa Idd Amin alikuwa na vituko sana!Kazi ya Bashite ak.a mariamungu
Hata mimi nimesikia hivyo! Tuombe Mungu, yasimkute ya BEN.Tunajadili humu lakini kuna taarifa ROMA MKATORIKI keshamalizwa
We ni kimbulu unatafuta kick kwa jasho,Hilo ndiyo tatizo lenu nyie msiowajua Baba zenu
sioni akili za kuelewa madini unayo mpaNdio maana mmepewa dola kulinda watu na mali zao!Hatujawapa ridhaa mje kulalamika,we want answers!Kama mmeshindwa kaeni kando,period!
Matusi hayo ndiyo nisiyoyataka, povu ni matusi. Mushaija utatukanwa ukose usingizi, kwaheriVipi tena waitu, byabhae bite muhungu?....mbona povu linakutoka namna hiyo???
Nalipa deni, tunahimizwa kulipa madeni yetuUnakataza matusi, na wewe unatukana !
usiwe mvivu wa kufikiri. mimi nimejaribu tu kuona kama inawezekanaje mroma mkatoliki na wenzake wawe wametekwa badala ya kukamatwa kwa mujibu wa sheria kama kuna kosa.Mkuu mbona kama unahusika na utekaji?