Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Polis wa Tanzania anapoteuliwa kuwa RPC wa Dar huwa anajiona ni mjanja kuliko hata Rais wa Nchi , ndio shida inayompata MuriloAnajodhalilisha sana, pia analidhalilisha Jeshi la Polisi, Bora Angekaa kimya na kuchukua hatua za kushughulikia suala hili kimya kimya bila ya kuushitua umma wa Wananchi.
Tanzania hatuna polisi kwa maana ya polisi.Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.
Polisi wameondoka na Godlisten Malisa kwenda naye Moshi, Kilimanjaro usiku huu ili kufanya upekuzi nyumbani kwao wakitafuta simu ambayo polisi wamesema wanaitaka kwa ajili ya uchunguzi.
Polisi wamekwenda nyumbani kwa Boniface Jacob, Mbezi-Msakuzi, Dar es Salaam pia kufanya upekuzi ikiwa ni pamoja na kutafuta simu ambayo polisi wamesema wanahitaji ili kufanya uchunguzi.
Jeshi la polisi limesema kwamba wao ndiyo walalamikaji katika jambo hili, na kwamba Boniface Jacob na Godlisten Malisa wamefanya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii dhidi ya Jeshi la Polisi.
Pia, jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Saalam limesema kwamba, kuna makachero wa jeshi la Polisi kutoka mkoa wa Arusha ambao wanatoka Arusha kuja Dar es Saalam ili kumuhoji Boniface Jacob.
Tuteendelea kuwajulisha kwa ambayo yanaendelea. MSIOGOPE. MSIOGOPE. MSIOGOPE. MSIOGOPE.
MMM, Mtikila.
PIA SOMA
- Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi
- Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC
Ukikosa akili unaweza kuungana na jambazi na ukaonea ufahari uwendawazimu wako.naungana na jeshi la polisi
kazi nzuri
mimi kuliunga mkono jeshi la polisi umeumia?Ukikosa akili unaweza kuungana na jambazi na ukaonea ufahari uwendawazimu wako.
ππππππππ€πYou cannot be a Judge for your own Case.
Polisi ni Watuhumiwa.
Polisi hao hao ni Wapelelezi.
Polisi hao hao pia ni Walalamikaji.
Je, katika scenario kama hii HAKI itatendeka???????????????????????
Katiba Mpya inahitajika Sana kwa Sasa hapa Tanzania, kwa gharama yoyote ile ni lazima ipatikane.
Hukawii kusikia Murilo akiita press kusema kuwa katika upekuzi wamefanikiwa kukamata kilo nne za cocaine, bunduki mbili aina ya AK47 na nyingine gobore la kienyeji na magazine yenye risasi 13 nyumbani kwa Malisa pale Old Moshi.Kwa taarifa hizo, huko Moshi wakifika watakuta ndizi TU.
Umesoma ulichoandika mkuu na ukaona umeandika kitu kinachoeleweka?huku ni kujitakia usumbufu usokua na maana na sympathy ambazo hazina maana yoyote kutoka kwa wanainchi π
yawezekana wamekua trapped politically na washindani au wapinzani wao kisiasa, mule mule kwenye chama yao, ili kuwaingiza matatizoni, kuwadidimiza na kuwapoteza kisiasa, na wao walivyo na uchu na taamaa ya umaarufu, wapenda kiki, sifa za kijinga nao wakaingia mkenge mazima vizuri sana π
miongoni mwa athari za kisiasa ambazo huenda akakumbana nazo huko mbele ni pamoja na kua disqualified ktk ungombeaji nafasi za kisiasa π
watch it...
for beginners in political scene, I'm sorry, I know you must be confused completely on what I commented concerning what is going on, up on these two political activists as per motion raised above πUmesoma ulichoandika mkuu na ukaona umeandika kitu kinachoeleweka?
You don't make sense. You mean they shouldn't raise their voices for fear of not getting chances of being appointed to take a public office? You mean they will ruin their chances of occupying a public office just because the police have slapped false accusations on them?for beginners in political scene, I'm sorry, I know you must be confused completely on what I commented concerning what is going on, up on these two political activists as per motion raised above π
nisamehe sana aise π
Siyo awe na,ni awe na kadi ya yuvisisiemu.Dah! Vichwa visivyo na Akili, ni mizigo kwa miguu.
Nadhani kuweka kigezo cha mtu anayetaka kwenda kuwa Police anatakiwa kuwa na D kifutwe. Maana Jeshi la Police limejaa watu wana Akili za kijinga kupita maelezo.
Failed State!
Taasisi ya kuwachunguza polisi ni Mahakama. Sio Mahakama chombo badi Mahakama mhimili wa dola. Hivi ni vitu viwili tofauti japo wengi huvichanganya.Kutoka kwa Emmaus Bandekile Mwamakula
Ndugu Watanzania!
Usiku huu tumeongea na mawakili wasomi Dickson Matata na Hekima Mwasipu ambao ni mawakili wa Malisa GJ na Mhe Boniface Jacob na tumejulishwa yafuatayo:
1. Malisa na Boniface wanakabiliwa na tuhuma mbili ambazo ni uchochezi na kuleta taharuki kwa jamii kwa kuchapisha taarifa kuhusu kifo cha Robert Mushi aka Babu G kwa kulihusisha Jeshi la Polisi na kifo hicho wakati marehemu amefariki kwa ajali.
2. Walalamikaji ni Jeshi la Polisi wenyewe.
3. Usiku huu Polisi wamekwenda na Boniface nyumbani kwake Msakuzi, Dar es Salaam kwa ajili ya kumfanyia upekuzi.
4. Pia usiku huu, wamesha magari na kwenda na Malisa nyumbani kwao Moshi Kilimanjaro kwa ajili ya kumfanyia upekuzi.
5. Kuwa Polisi watawahoji watuhimiwa baada ya kuwafanyia upekuzi.
6. Kwamba taarifa zaidi kuhusu dhamana zao zitajulikana kesho baada ya kufanya upekuzi.
Sisi Askofu Mwamakula tunaendelea kufuatilia kwa karibu sana suala hilo kwa kuwa ni jambo linalogusa hisia za watu wengi na pia linabeba maslahi ya taifa na umma wote wa Watanzania kwa ujumla. Chimbuko la tuhuma hizo liko pia katika kurasa zao. Sisi Askofu pia tumeendelea kuwajuza watu kupitia ukurasa huu tangu jana.
Bado tunaendelea kuwaza kuwa kama ni kweli Jeshi la Polisi limetuhumiwa na watu hao, ni taasisi ipi huru itayokahoji na kuwachunguza Polisi wanaotuhumiwa kufanya hayo ambao Jeshi la Polisi linalalamika kuwa linasingiziwa?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 25 Aprili 2024; saa 4:09 usiku
Hit em up broYou don't make sense. You mean they shouldn't raise their voices for fear of not getting chances of being appointed to take a public office? You mean they will ruin their chances of occupying a public office just because the police have slapped false accusations on them?
Your thinking is of a very silly selfish man. You don't even deserve to take a wife and have children.
You lack any sense.
that's why I said very sorry at very bigining of my comment....You don't make sense. You mean they shouldn't raise their voices for fear of not getting chances of being appointed to take a public office? You mean they will ruin their chances of occupying a public office just because the police have slapped false accusations on them?
Your thinking is of a very silly selfish man. You don't even deserve to take a wife and have children.
You lack any sense.