Jeshi la Polisi lapewa siku 90 kuhakikisha mitambo ya LUGUMI inafanya kazi vituo vyote

Siku 90 zikiisha na hakuna lilifanyika huyu naibu aliyejivika usipaka kamili atafanya nini?
 
Kwel maisha sio fair,hapo angekua mtu mdogo kama mimi ningekua nishaingia jela kwa kushindwa kutekeleza ontime na kuitwa mhujumu.Hapa mtu anapewa kbsa muda wa kumalizia kaz badala ya kutoa na adhabu. Kweli mtoa haki ni Mungu tu
 
My country Tanzania , Aaaah! Nimechoka kabisa, yaani hakuna hata aliyeadhibiwa kwa utapeli huu, mbaya zaidi tumezidi kupoteza fedha za walipa kodi kwa kuunda kamati ndogo wakati maazimio yenyewe ndiyo kama haya ya kumpa tapeli muda zaidi badala ya kichukua hatua iwe fundisho
 
Kama kweli wanatafutwa wachochezi katika nchi hii, hawa watu wanaotoa maamuzi ya ajabu hivi ndio wachochezi.

Hawa wanaofanya kila hila ili kuficha na kupotezea wizi mkubwa kiasi hiki, hawa ndio wachochezi halisi.
 
Hivi kweli kampuni inalipwa zaidi ya asilimia 90, bila kutekeleza mkataba kikamilifu, inatokea sintofaham, zinafanyika figisu figisu hizo taarifa zinakandamizwa au kutokupewa kipaumbele, kisha chombo kibachoheshimika kinajitokeza bila aibu kuagiza hiyo kampuni itekeleze mkataba ndani ya miezi mitatu, haiingii akilini.

Naomba niishie hapa nikiongea sana mtanichangia millioni 7 au ntafungwa.
 


faida ya upinzani akina Lema na chadema/ukawa asante kwa kuwakumbusha wezi na majangili wa nchi hii kuwa tunawaona kwa kila upuuzi wanao fanya, wasipotekeleza tutawaadhi tu
 
Kwa hili la Lugumi hapa kazi tu imekuwa a tale full of sound and fury signifying nothing!
 
Kumbe vifaha vilikuwepo? Au msure alivifuta Israel?
 
Kwa hili la Lugumi hapa kazi tu imekuwa a tale full of sound and fury signifying nothing!

Umenikumbusha mbali sana simplemind...kipindi cha literature tukimsoma Shakespeare's Macbeth;

To-morrow, and to-morrow, and to-morrow,
Creeps in this petty pace from day to day,
To the last syllable of recorded time;
And all our yesterdays have lighted fools
The way to dusty death. Out, out, brief candle!
Life's but a walking shadow, a poor player
That struts and frets his hour upon the stage
And then is heard no more. It is a tale
Told by an idiot, full of sound and fury
Signifying nothing.​
 
Upo s
Roho yangu ina maumivu makali sana kwa haya yanayotendeka, kama vile moto ulio fungwa ndani ya mifupa yangu. Nami nimechoka kwa maumivu.
Upo sahihi kabisa hata mimi naumia sana tena sana.Ila ninasema na MUNGU aliye juu kama upo na unasikia tena MUNGU uliye hai natamka maneno haya kwamba fimbo ya MUNGU itawachapa wote waliohusika na wanaondelea kuhusika kibeba maovu haya.
 
Viiongozi wa Ihichn hii wamelaaniwa
 

Mkuu umenukumbusha mbali, niliwahi kuona film/movie yake inachukua karibu saa tatu kufikia tamati - ndefu sana, sasa hili la wenzetu kuogezewa tena miezi mitatu limeniacha njia panda kama akina Macbeth, MacDuff ,Antony na wale watabiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…