ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Na wale wa ndio watalalamikia adhabu ndogoHivi kweli kampuni inalipwa zaidi ya asilimia 90, bila kutekeleza mkataba kikamilifu, inatokea sintofaham, zinafanyika figisu figisu hizo taarifa zinakandamizwa au kutokupewa kipaumbele, kisha chombo kibachoheshimika kinajitokeza bila aibu kuagiza hiyo kampuni itekeleze mkataba ndani ya miezi mitatu, haiingii akilini.
Naomba niishie hapa nikiongea sana mtanichangia millioni 7 au ntafungwa.
Na wale wa ndio wakashangiliaNaibu Spika kageuka Kamati na kutoa taarifa bungeni!
Huyo Naibu Spika Anatafuta Marungu na Mabomu ya Mchozi tu.
Wengine tuliwaonya, mtapata maradhi ya Moyoii kidogo imeleta simanzi kwa wale waliokuwa wanaamini kwenye Tanzania mpya.
Mkuu tofauti ni K na PM ila hao wote ni J.Eeh Mungu wangu. Nimegundua kwa nini vikundi vya kigaidi hujitokeza, nimegundua ni kwanini yule kijana wa Kiarabu alijichoma Moto mbele ya ofisi za Serikali, nimegundua ni kwa nini mtiifu wa ccm anaweza kujiunga Chadema, nimegundua kwa nini anataka aombewe. Jamani issue ya Lugumi ndo imeisha hivi hivi bila mtu kutiwa hatiani!!!?? Kweli? Nchi inaenda wapi? Mbona sioni tofauti ya JK na JPM? Mungu bora uiangamize Taifa hili tujue moja. Izame kama gharika.
Naibu Spika amepokea lini Ripoti ya Kamati na ripoti kujadiliwa? Ama kweli...
Mzee Tupatupa
Mambo yanamalizwa juu kwa juu,faida ya wapinzani kuwa nje ya bunge.Naibu Spika amepokea lini Ripoti ya Kamati na ripoti kujadiliwa? Ama kweli...
Mzee Tupatupa
Kama usivyoweza kusukuma basi ukiwa ndani ya basi hilohiloNi vigumu kutatua tatizo ungali sehemu ya tatizo!
Ukitaka kutatua tatizo sharti ujitenge na tatizo kwanza.
Hii ni kanuni.
.Wamefungwa midomo sasa. Safi sana