ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Na wale wa ndio watalalamikia adhabu ndogoHivi kweli kampuni inalipwa zaidi ya asilimia 90, bila kutekeleza mkataba kikamilifu, inatokea sintofaham, zinafanyika figisu figisu hizo taarifa zinakandamizwa au kutokupewa kipaumbele, kisha chombo kibachoheshimika kinajitokeza bila aibu kuagiza hiyo kampuni itekeleze mkataba ndani ya miezi mitatu, haiingii akilini.
Naomba niishie hapa nikiongea sana mtanichangia millioni 7 au ntafungwa.