Nesto E Monduli
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 247
- 155
Nakala kwa:
Deo Filikunjombe
JK Nyerere
Deo Filikunjombe
JK Nyerere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakala kwa:
Deo Filikunjombe
????? Lazima utakuwamgonjwa wa akili tuu wewe!! Unachofurahia hapa ni nini hasa??Wamefungwa midomo sasa. Safi sana
Mkuu VUTA-NKUVUTE, huyo ni mwanasheria nguli aliyesaidia serikali kushinda kesi ya mita 100 kutoka kituo cha kupiga kura, atashindwaje kujua yaliyomo kwenye ripoti hata kama hajaipokea!? Tanzania ina vichwa we acha tu.Naibu Spika amepokea lini Ripoti ya Kamati na ripoti kujadiliwa? Ama kweli...
Mzee Tupatupa
Ni pure siasa za usanii....
Sasa ndiyo naanza kuelewa alikuwa na maana gani huyo Lugumi alipotamba siyo kila jipu Magu ana uwezo wa kulitumbua.......
Hivi kwa mwendo huu wa Bunge la mfumo wa Chama kimoja la huyo mdada, ni nani atathibitisha kama mashine hizo zimefungwa?
Na Je ni sheria gani ya nchi hii inayoruhusu mwizi arejeshe mali akizoiba halafu ataachiwa huru?!

Usishangilie upuuzi wewe .... hio ni pesa yetu sote. hivi watu wengine sijui akili zenu mnaweka wapi aiseee, shame on you, mnaleta siasa hata kwenye mambo ya muhimu....
Na kuna watu wanashangilia na kusifuhii ndio tanzania, yanaenda tu.......
Ndoo maana anaogopa mikutano ya siasa.Mtumbua majipu anatumbua vidagaa ma papa kama lugumi yanapewa muda ila engineer manispaa anatumbuliwa mbele ya waandishi wa habari