Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hawa walikuwa ni watekaji sema wameshitikiwaHuyo kimbaumbau kawahangaisha namna hiyo, mimi hawanikamati kindezi wanakula mbata labda wanichape risasi miguu yote nafasi ambayo pia sitowapa.
Vijana acheni tamaa za kuzidi mtakufa wengi sana hiki kipindi cha miaka 2025 mpaka 2045Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa kina juu ya video mjongeo iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na watu waliovaa kiraia nakisha baadaye kupakizwa kwenye gari nyeusi na kuondoka naye.
Jeshi letu la polisi limesema tukio hilo lilifanywa na askari wetu kwa mtu huyo ambaye alikuwa ni mhalifu wa makosa mbalimbali ya uporaji kwa kutumia pikipiki.
Kwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa rasmi.
View attachment 3245354
Huna akili wewe dada, hakuna anayesema wahalifu wasikamatwe tuna hoji kwanini wakikamata mtu wasitoe taarifa kwa uongozi wa mtaa au kwa watu waliokuwa karibu? huna maana kabisa. Husikii matukio ya utekaji? jinga sn ww mamaTii Sheria bila shuruti mambo kama haya hayakupati,uibe,uibe wake za watu unategemea nini
Natamani sana siku moja ukamatwe na kufunzwa ababu. Maana inaonyesha wewe na mhalifu na ndio maana unatetea wahalifu.Hawa walikuwa ni watekaji sema wameshitikiwa
Wapo sahihi kabisa na ninashangaa kwanini hawakuwa na kirungu cha kumregeza Miguu wakati analeta ubishi wake wa kukamatwa. Tii sheria bila shuruti. Nawachukia sana wahalifu na waporaji. Embu fikiria wewe uhangaike kwa jasho lako kutafuta mali fulani au kitu fulani halafu mtu anakuja anakuibia? Utajisikiaje? Mimi nasema walimkamata kistaarabu sana.Yaan wewe hukishtukii kwamba watu wote wanapinga haukua utaratibu sahihi wa ukatamataji ila wew unaona ni sawa? Lucas Mwashambwa
Acha kutukana watu matusi humu . Hili siyo jukwaa la vichaa na wendawazimuHuna akili wewe dada, hakuna anayesema wahalifu wasikamatwe tuna hoji kwanini wakikamata mtu wasitoe taarifa kwa uongozi wa mtaa au kwa watu waliokuwa karibu? huna maana kabisa. Husikii matukio ya utekaji? jinga sn ww mama
Wewe omba Mungu majambazi yaije kukuvamia kukupora nyumbani kwako halafu ukipiga simu waje haraka wanakwambia tunamtafuta mjumbe wa nyumba kumi au wa serikali ya mtaa unaoishi atuthibitishie kwanza kama kuna hilo tukio ndio tuje tuwakamateKuna mahali nimekataa wakamatwe? Ila wanakamatwa kwa kufuata taratibu?
Maana kuna miongozo ya police
Au hiyo miongozo haiwahusu?
Sasa wewe endelea kuoba na kutoa vimaneno vyako hivyo. Siku yao ikifika utakomaYangewakut ya kuwakuja , mje huku musoma mtumie njia hyo kama hajawa majivu wakamataji na Gari hyoo
Huyo jamaa inawezekana ni mhalifu ndio maana anatetea wahalifu. Ngoja siku moja yamkute ya kumkuta ndio ataona umuhimu wa askari wetu.Wewe omba Mungu majambazi yaije kukuvamia kukupora nyumbani kwako halafu ukipiga simu waje haraka wanakwambia tunamtafuta mjumbe wa nyumba kumi au wa serikali ya mtaa unaoishi atuthibitishie kwanza kama kuna hilo tukio ndio tuje tuwakamate
Ona tukio kama hili wahalifu wanafanya tukio halafu wanatoroka unataka polisi waombe kibali wapi
Hyvi vishetia vyenu uchwara bakini navyo kwenye majoho yenu
Wewe utakuwa jambazi
View: https://youtu.be/2jEczHaZ8Og?si=LMX0VyjGmAvb9Ig_
Jambazi sugu ukitetea majambazi wenzioHawa walikuwa ni watekaji sema wameshitikiwa
Wewe huna akili hata kidogo utasubiri sn mimi siyo UWT mwenzioNatamani sana siku moja ukamatwe na kufunzwa ababu. Maana inaonyesha wewe na mhalifu na ndio maana unatetea wahalifu.
Jibu hoja wwe shetaniAcha kutukana watu matusi humu . Hili siyo jukwaa la vichaa na wendawazimu
Uhalifu siyo dili. vijana tufanye kazi halali.Vijana acheni tamaa za kuzidi mtakufa wengi sana hiki kipindi cha miaka 2025 mpaka 2045
Lucas Mwashambwa ni mjinga snShida tuna wajinga wengi kama hakina mwa............
Hata mumeo tunaiba nayeJambazi sugu ukitetea majambazi wenzio