Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

Jaribu kufanya hivyo uone shughuli yake na ujute kuzaliwa. Acheni kulea na kutetea wahalifu.
 
Tangiapo walimteka sema aliyerecord ndiyo kawaharibia
 
huu ni utekaj , wamejitokeza ili kututuliza , je kwann walitishia umma?
 
Hii habari ipelekwe jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko, hapa sio mahali pake.

JamiiForums , Mhariri, Moderator
i
 
Tena wananchi wange wasaidia kumdhibiti, pia kama wangefanya hivyo ingewapa wananchi imani kubwa kwa polisi. Je wakija wahuni wengine kumchukua mtu kwa njia ile ya kihuni wananchi watatofautije ukamataji wa polisi na unyakuaji wa wahuni?
Saidia mtu unayemjua
Mfano huyo angesema natekwa halafu wananchi hawamjui wakawashambulia na kuua hao polisi unajua nini kingewapata hao wananchi baadaye huyo mtu wakiambiwa alikuwa jambazi wakimkimbiza

Wao watahesabika sehemu ya huyo jambazi na kupewa kesi ya mauaji ya kuua polisi

Njia nzuri kwenye hilo ni kupiga simu polisi au kuripoti kituo cha polisi cha karibu au kwa mjumbe au kiongozi wa mtas hsraka haraka sana kwa simu au bodaboda anakimbia haraka kuripoti

Usichukue sheria mkononi hata apige kelele anatekwa
 
Kamata zingine hazihitaji uweledi
Unaweza kuta huyo kasakwa wamemkosakosa

Ova
 
kwa nini msivae sare za polisi? hata hivyo tunashukuru kwamba mmekiri mnaye, hivyo hataokotwa amekufa. mpo naye.
 
Ulitaka abembelezwe?
unajua taratibu za kumshika mharifu ? hv raia watajuaje kama ni polisi na sio majambaz , Afrika ina viongoz wabovu na nyiny ndo mnawalea hlf lawama mnawapa wazungu , km tuna taratibu zipo na watumish hawafuati na raia mnawasifia kwa kutofuata taratibu kisa anaetendewa sio ww bas ni haki Unapoona matatizo yenu usianze wahusisha wazungu
 
Weledi wa polisi ni zero kabisa.kama ni mhalifu wangesema kabisa kuwa wao ni polisi wa kituo Fulani ili kuondoa taharuki.Na wawe wanavaa ngua zao rasm.wanaukamataji wa kishamba sana
Huyo atakuwa wanted
Labda na mtu wa matukio

Ova
 
Kamata zingine hazihitaji uweledi
Unaweza kuta huyo kasakwa wamemkosakosa

Ova
Na aliwakimbia polisi. Mimi sijawahi kuwa na huruma na wahalifu. Kama una huruma na wahalifu basi subiri siku yakupate.kwa hakika utawalaani Maisha yako yote.
 

Ungewatofautishaje hao Askari na watekaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…