Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huwezi kunitisha kisa wewe ni VEO, toa ujinga wako hapaSasa wewe jifanye kushupaza shingo utaona kitakacho kukuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kunitisha kisa wewe ni VEO, toa ujinga wako hapaSasa wewe jifanye kushupaza shingo utaona kitakacho kukuta.
Jaribu kufanya hivyo uone shughuli yake na ujute kuzaliwa. Acheni kulea na kutetea wahalifu.Ingetokea mtu akaamua kuwagonga na gari wote hao akiamini ni watekaji kwa kumkamata mtuhumiwa kwa mazingira hayo mngesemaje juzi tu hapa dereva wa TRA alipigwa hadi kufa ninyi bado hamjifunzi tu mnadhani Smg moja inaweza kuwatuloza watu wenye hasira kali jifunzeni kukamata watu kwa weledi ya taaluma yenu.
Tangiapo walimteka sema aliyerecord ndiyo kawaharibiaIngetokea mtu akaamua kuwagonga na gari wote hao akiamini ni watekaji kwa kumkamata mtuhumiwa kwa mazingira hayo mngesemaje juzi tu hapa dereva wa TRA alipigwa hadi kufa ninyi bado hamjifunzi tu mnadhani Smg moja inaweza kuwatuloza watu wenye hasira kali jifunzeni kukamata watu kwa weledi ya taaluma yenu.
huu ni utekaj , wamejitokeza ili kututuliza , je kwann walitishia umma?Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa kina juu ya video mjongeo iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na watu waliovaa kiraia nakisha baadaye kupakizwa kwenye gari nyeusi na kuondoka naye.
Jeshi letu la polisi limesema tukio hilo lilifanywa na askari wetu kwa mtu huyo ambaye alikuwa ni mhalifu wa makosa mbalimbali ya uporaji kwa kutumia pikipiki.
Kwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa rasmi.
View attachment 3245354
Soma: Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha
iNdugu zangu Watanzania,

Mimi ni mkulima na wala sikutisi ila nakumbia ukweli kuwa kama wewe ni mhalifu basi acha mara moja . Maana utakufa kifo cha aibu na majuto.Huwezi kunitisha kisa wewe ni VEO, toa ujinga wako hapa
Wewe ni shetani kabisa, baada ya kumkamata mhalifu walishindwa nini kutoa taarifa kwa uongozi wa mtaa? shame on youJaribu kufanya hivyo uone shughuli yake na ujute kuzaliwa. Acheni kulea na kutetea wahalifu.
Naliunga mkono jeshi la polisi. Hatuwezi kuwalea wahalifu na kuwaacha wafanye uhalifu wao.huu ni utekaj , wamejitokeza ili kututuliza , je kwann walitishia umma?
Saidia mtu unayemjuaTena wananchi wange wasaidia kumdhibiti, pia kama wangefanya hivyo ingewapa wananchi imani kubwa kwa polisi. Je wakija wahuni wengine kumchukua mtu kwa njia ile ya kihuni wananchi watatofautije ukamataji wa polisi na unyakuaji wa wahuni?
Nenda polisi ukaongee huo ujinga wako. Kwani hujasoma taarifa hapo kiwa hata ndugu zake wanafahamu kila kitu?Wewe ni shetani kabisa, baada ya kumkamata mhalifu walishindwa nini kutoa taarifa kwa uongozi wa mtaa? shame on you
Kamata zingine hazihitaji uwelediIs that a way of handling a criminal? Askari anapaswa kufanya kazi kwa weledi na kwa uangalifu sana.
Ukamataji ulifanyika kienyeji bila kuonesha ujuzi wa kitaaluma.
Ilikuwa ni purukushani za kishamba zilizodhaniwa kufanywa na watu wasio na ujuzi wa kazi za kiusalama.
Imagine raia wangeamua kuingilia kati varangati ingekuwaje?
Askari hata akiwa kiraia ( askari kanzu) Kuna picha na ujumbe lazima auneshe na kuutuma kwa hadhira Ili kujibu sintofahamu.
Wajifunze kuwa smart katika kazi zao.
Bila shaka wewe ni mhalifu au inashirikiana na wahalifu.Hii habari ipelekwe jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko, hapa sio mahali pake.
JamiiForums , Mhariri, Moderator
i
yaah hii personal issue nahisi.Sasa hapa ndio umeandika nini? Ndio hoja iliyopo mezani hapa? Au una matatizo na mimi? Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo porojo.
Huna akili, baada ya kelele nyingi watekaji wamegeuka wakamatajiNenda polisi ukaongee huo ujinga wako. Kwani hujasoma taarifa hapo kiwa hata ndugu zake wanafahamu kila kitu?
kwa nini msivae sare za polisi? hata hivyo tunashukuru kwamba mmekiri mnaye, hivyo hataokotwa amekufa. mpo naye.Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa kina juu ya video mjongeo iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na watu waliovaa kiraia nakisha baadaye kupakizwa kwenye gari nyeusi na kuondoka naye.
Jeshi letu la polisi limesema tukio hilo lilifanywa na askari wetu kwa mtu huyo ambaye alikuwa ni mhalifu wa makosa mbalimbali ya uporaji kwa kutumia pikipiki.
Kwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa rasmi.
View attachment 3245354
Soma: Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha
unajua taratibu za kumshika mharifu ? hv raia watajuaje kama ni polisi na sio majambaz , Afrika ina viongoz wabovu na nyiny ndo mnawalea hlf lawama mnawapa wazungu , km tuna taratibu zipo na watumish hawafuati na raia mnawasifia kwa kutofuata taratibu kisa anaetendewa sio ww bas ni haki Unapoona matatizo yenu usianze wahusisha wazunguUlitaka abembelezwe?
Huyo atakuwa wantedWeledi wa polisi ni zero kabisa.kama ni mhalifu wangesema kabisa kuwa wao ni polisi wa kituo Fulani ili kuondoa taharuki.Na wawe wanavaa ngua zao rasm.wanaukamataji wa kishamba sana
Na aliwakimbia polisi. Mimi sijawahi kuwa na huruma na wahalifu. Kama una huruma na wahalifu basi subiri siku yakupate.kwa hakika utawalaani Maisha yako yote.Kamata zingine hazihitaji uweledi
Unaweza kuta huyo kasakwa wamemkosakosa
Ova
Wapo sahihi kabisa na ninashangaa kwanini hawakuwa na kirungu cha kumregeza Miguu wakati analeta ubishi wake wa kukamatwa. Tii sheria bila shuruti. Nawachukia sana wahalifu na waporaji. Embu fikiria wewe uhangaike kwa jasho lako kutafuta mali fulani au kitu fulani halafu mtu anakuja anakuibia? Utajisikiaje? Mimi nasema walimkamata kistaarabu sana.