Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Huna hoja za kujibiwa.Jibu hoja wwe shetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna hoja za kujibiwa.Jibu hoja wwe shetani
Wewe endelea na uhalifu wako.Lucas Mwashambwa ni mjinga sn
Sababu huna akiliHuna hoja za kujibiwa.
Mbona inaeleweka majambazi wengi na watetea majambazi wako Chadema ndio chama chaoHawa walikuwa ni watekaji sema wameshitikiwa
Wewe ni mtetezi wa wahalifu.Wewe huna akili hata kidogo utasubiri sn mimi siyo UWT mwenzio
Ndiyo maana upo UWTWewe endelea na uhalifu wako.
Upo sahihi kabisaMbona inaeleweka majambazi wengi na watetea majambazi wako Chadema ndio chama chao
YapWewe ni mtetezi wa wahalifu.
Kwani na mumeo yupo CHADEMA?Mbona inaeleweka majambazi wengi na watetea majambazi wako Chadema ndio chama chao
Tena wananchi wange wasaidia kumdhibiti, pia kama wangefanya hivyo ingewapa wananchi imani kubwa kwa polisi. Je wakija wahuni wengine kumchukua mtu kwa njia ile ya kihuni wananchi watatofautije ukamataji wa polisi na unyakuaji wa wahuni?Ujinga ni mzigo ndugu yangu. Kulikuwa na ubaya gani, polisi mmoja anawatangazia wananchi kuwa, "Ndugu wananchi sisi ni polisi msiwe na wasiwasi tunamkamata huyu ni mtuhumiwa" Halafu anatoa kitambulisho kuna ubaya gani?
Jambazi lolote likishikwa Chadema ndio hutoa tamko kuwa si sahihiKwani na mumeo yupo CHADEMA?
Mkuu Ni mahakama pekee ina haki ya kusema huyu mtu ni mtuhumiwa au la kwa mujibu wa sheria, hapa Luka umepuyanga japo tuko pamoja kumkubali bimkubwa na kazi zake ambazo zimeonekana pakubwa na mayowe yameanzia kenya sasa wana bifu na sisi kila kitu!! Wanatuogopa mno hivi sasa hata kabla SGR haijafika kirumba na kisha ujiji!!Ni mhalifu mkubwa sana na bila shaka hata yeye alijua sababu ya kukamatwa kwake.
Majangili wote mpo CCM, hovyo kabisa kutwa kujifanya TISS wajinga wakubwa nyieJambazi lolote likishikwa Chadema ndio hutoa tamko kuwa si sahihi
Hilo lilishajulikana siku nyingi tu
Kuwa Chadema ni chaka la majambazi
Kama wewe ni mhalifu acha mara moja kufanya uhalifu.Majangili wote mpo CCM, hovyo kabisa kutwa kujifanya TISS wajinga wakubwa nyie
Anza na UWT wenzio shetani mkubwa weweKama wewe ni mhalifu acha mara moja kufanya uhalifu.
Naunga mkono hoja yako maana upo sahihi kabisaJambazi lolote likishikwa Chadema ndio hutoa tamko kuwa si sahihi
Hilo lilishajulikana siku nyingi tu
Kuwa Chadema ni chaka la majambazi
Sasa wewe jifanye kushupaza shingo utaona kitakacho kukuta.Anza na UWT wenzio shetani mkubwa wewe
Sasa hapa ndio umeandika nini? Ndio hoja iliyopo mezani hapa? Au una matatizo na mimi? Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo porojo.Lucas ameufanya uchawa wake wa kisiasa kuwa ngao ya kujikweza
akijitosa katika bahari ya unafiki kwa kusifia mamlaka bila tafakuri
Ufuasi wake si wa itikadi….. bali wa maslahi binafsi….. ambapo anabadili misimamo kama kinyonga ili kuendana na matakwa ya wakubwa.
Katika ulimwengu wake, ukweli ni kile kinachompendeleza mwenye mamlaka, na uadilifu umesahaulika kwa gharama ya ulafi wa kijipatia fursa
Rubbish