Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama

Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama

Wakipandishwa kizimbani ndiyo tutaamini. Waliojificha ni akina nani. Tupeni taarifa zao kamili tusaidie
 
Huyo afande aliyewatuma mbona hajatajwa.
Hao wahuni waliombaka huyo Binti walimuamuru amwombe afande msamaha
 
Hii kari. CHADEMA na Rais wa TLS walituaminisha kuwa huyu alilawitiwa na kina Napena Makonda kule Gongo.la Mboto kumbe wala si Yombo Dovya. Kwa nini nao wasikamatwe kwa kusambaza chuki za kisiasa?
Form four ulipata D ngapi na F ngapi?!!

Unawafahamu vizuri POLISI wa Tanzania?
 
Hawa polisi siwaamini hata kidogo sababu ya record zao mbovu
Kama wangekurupuka siku ile ya tukio tungesema huenda mambo ni yale yale ya KUBAMBIKIA lakini all in all tuiachie MAHAKAMA kama ikiwapata na HATIA au kuwaachia HURU ndio tuongee...

Lakini ni kweli yako hili Jeshi la Polisi linahitaji REFORMS ya hali ya JUU kabisa.
 
Kwenye hiyo taarifa kuna mahali wameandika "Aidha uchunguzi umeibani tukio hilo limefanyika eneo la swaswa katika jiji la dodoma mwezi mei 2024"

Niulize, Wakuu hili tukio lilifanyika dodoma mwezi mei 2024?
Swal lako gumu nani wakulijibu? Maanake huna Imani na mamlaka ya Uchunguzi. 🤣🤣 Safi umeanza kunusa harufu ya Chenga ya akili taratibu.
 
Kwenye hiyo taarifa kuna mahali wameandika "Aidha uchunguzi umeibani tukio hilo limefanyika eneo la swaswa katika jiji la dodoma mwezi mei 2024"

Niulize, Wakuu hili tukio lilifanyika dodoma mwezi mei 2024?
Inawezekana tukio lilifanyika mwezi may,ila video clips zikavuja mwezi huu. It's possible.

Jambo la umuhimu ni kuwa haki itendeke na Binti afanyiwe counselling asije kujizulu.
 
Back
Top Bottom