Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama

Mmh ila mabinti wanatembea Toka dar to dom.. Siku mbaya kazini Mungu ampe faraja
 
Hebu soma hii kitu ndugu zangu do!!...

"Jeshi la Polisi lingependa kutoa onyo kwa baadhi ya watu ambao hawana mamlaka ya kufanya hivyo waache tabia ya kwenda kwenye eneo ambalo lilitajwa kuwa huyo binti anaishi wakimtafuta yeye na familia yake ili wawahoji au kuwaona. Kufanya vitendo vya aina hiyo ni kuwatweza utu wao na kuwatonesha majeraha waliyonayo mioyoni mwao".
 
Hili ni jibu tosha kabisha polisi ya Tanzania haipo makini kulinda usalama wa raia na mali zao kama jukumu lao la msingi.

Bila makada wa CHADEMA kusimama kidete huu unyama usingejulikana.

Kingai unafaa kuwa Dci?
 
Huyu ndiye yule alipata fistula kwa maswali ya Kibatala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…