Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameonekana kwenye video clip, tayari wanajulikana.LAKINI HIVI HAWA WATU WALIOKAMATWA KU DISCLOVE MAJINA YAO KUTAKUWA KUNA SHIDA KWENYE UPELELEZI? PEOPLE ARE CURIOUS TO THIS,HAITOSHI KUSEMA WAMEKAMATWA TU
Inasikitisha sana
Hujui kusomaSasa ndio umeandika nini Kamanda?
Inasemekana hivyo, Moyo wangu unavuja damTukio la yule binti aliyebakwa na wajeda ni la may? Au sio hilo unalomaanisha mkuu?
Nimeshangaa sana hii taarifa.Inasemekana hivyo, Moyo wangu unavuja dam
Ndo hivyo ya Gizani mkuu siku moja yatakua wazi Mungu mwema siku zoteNimeshangaa sana hii taarifa.
Huyu ndiye yule alipata fistula kwa maswali ya KibatalaHili ni jibu tosha kabisha polisi ya Tanzania haipo makini kulinda usalama wa raia na mali zao kama jukumu lao la msingi.
Bila makada wa CHADEMA kusimama kidete huu unyama usingejulikana.
Kingai unafaa kuwa Dci?
Hawa ni majambazi wanaovaa uniformKama kweli tukio lilitokea mwezi wa Tano halafu linakuja kujulikana mwezi wa nane Tena baada ya kuibuliwa na chadema basi hatuna polisi Bali tuna genge la wavuta bangi tu