Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

Chadema inajidhalilisha na kujiua yenyewe. Walitangaza kujiweka karantini Dodoma. Inakuwaje wako Dar kabla siku 14 hazijaisha! Ki ukweli kwa sasa ni ngumu sana kuelewa uwezo wa kufikiri wa viongozi wa Chadema na wafuasi wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna sheria inayozuia mkutano wa kisiasa
Huo ni usanii wa Serikali inayoogopa kwa kuwa imechokwa
Ni kwa nini yuko Dar? Hamuoni kuwa mnaonekana vituko mbele ya watu wanaojielewa! Aliyetangaza karantini Dodoma ni nani? Hiki chama ina maana hakina strategists wa kuwashauri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri Mkuu jana alikagua ujenzi wa Jengo la Tume ya Uchaguzi Dodoma huku akiwa na rundo la watu mbali na waandishi wa habari ila hatukusia Polisi wakimzuia.
Akina Wema sepetu, Harmonize na Hamisa Mobetto hivi Karibuni Wamefanya Mikutano na Waandishi wa Habari Hatujaona Polisi Wakiwazuia
 
Huyu mbowe atawatoa nyongo...jiwe alipo yupo hoi taabani.
 
Mbowe ni kiboko hivi kila wakimbamiza wananchi wanaongezeka hasira na kuwa na hamu siku kura ifike, hawatapepesa macho dhulma ni kubwa sana tena ya wazi.
 
Tuliosema warudishe posho wabunge wa chadema waliojifanya wako Lockdown hatukukosea wako Dar wanajirusha Mbowe huyo yuko Dar hayuko dodoma

Ebu jifunzeni kupenda namba jamani kwani posho sh. ngapi?????? na wamelipwa ngapi na bunge toka wachaguliwe????? Je pesa kwani wamepewa dirishani manake kama ni online basi spika alipaswa kumstua accounting officer wake ambaye ndio katibu wa Bunge aliverse hiyo transaction.

Nchi hii tatizo viongozi sio waelewa wa mambo hata yale basics yanawashinda kabisa dunia inatushangaa tunachaguaje watu hawa kuongoza mihimili. Spika anapanga budget ya nchi wakati hajui kabisa pesa inatokaje na kurudi, kisa John kamwambia awakate yeye kakurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…