Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

we kafuatilie urithi wa babu yako, acha ushamba
Mali Si zenu, k lakini tamaa ya kuuza sasa!!!

Nyerere angekuwa na mawazo kama yenu, mngemkuta chochote?

Hamtafanikiw kamwe, na mwisho ni 2025.
 
Hakuna chama chenye ubavu wala uwezo wa kushindana na CCM Katika sanduku la kura.Hajuna chama pia kinachoweza kuchukua nafasi ya CCM hapa nchini.
Nyie wazee wote ndio mnaamini hivyo. Ila kizazi hiki sio cha CCM. Mapinduzi ya kijeshi ama machafuko ndio yatawatoa madarakani. Kwa katiba hii mtaendelea kupotezea watu muda kwenye box la kura.
 
Mali Si zenu, k lakini tamaa ya kuuza sasa!!!

Nyerere angekuwa na mawazo kama yenu, mngemkuta chochote?

Hamtafanikiw kamwe, na mwisho ni 2025.
Bandari zetu zipo katika mikono salama ya Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia. CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi sana ijayo
 
Nyie wazee wote ndio mnaamini hivyo. Ila kizazi hiki sio cha CCM. Mapinduzi ya kijeshi ama machafuko ndio yatawatoa madarakani. Kwa katiba hii mtaendelea kupotezea watu muda kwenye box la kura.
Kibaya zaidi na cha kuchekesha unaandika huku umejificha kwako na inatumia jina bandia,kama wewe mwanaume toka hadharani na hayo maneno yako ili ukione cha mtema kuni
 
Bandari zetu zipo katika mikono salama ya Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia. CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi sana ijayo
CCM haivuki 2026 ikiwa madarakani Kwa mwendo huu.

Tusubiri.
 
Naona unajitahidi sana kuandika humu JF kutetea Seriakli na chama chake ccm.
Vipi wameshikulipa au bado, maana ujue ikisha tumika, huna kazi nao tena wala dhamani yako haitakuwepo.

Wengi walishatumika, mwisho wao haujulikani mpaka sasa, hivyo husiwe mtu wa kutetea vitu kiitikadi maana matokeo hayatachagua itikadi.
 
Unajisahau sana mdogo wangu!!!
Hii dunia sote tunapita. Walikuwepo wababe kama Hitler, Idd Amin Dadaa n.k., leo wamebaki ni historia mbaya tu! Ubabe dhidi.ya binadamu mwenzio haukuongezei Credit yoyote duniani wala mbinguni. Kila kitu hapa duniani ni ubatili mtupu!! Kuwa na hekima kwanza.
 
Mbona wewe usiye muoga umeshindwa kutoka hadharani na badala yake umebaki umejikunyata na kujificha kwenye fake id? Unataka nani abebe atangulie mbele ili wewe uwe unachungulia kwenye madirisha ya chooni kwako kinachoendelea nje
 
Wait and see!!!

Nchi ni yetu sote, Si ya kundi dogo!!!
 
Ninachohitaji ni watu kutumia hekima ,busara na lugha za staha katika kutoa maoni juu ya serikali. Napinga kwa nguvu zote lugha zitumiwazo na wanaojiita wanaharakati zinazochochea chuki,ubaguzi ,machafuko na kulipasua ama kuligawa Taifa letu.jambo hilo halikubaliki na halipaswi kuachwa kukua ndani ya Taifa letu.Ni lazima mbegu na mizizi yake isiruhusiwe kukua ndani yetu. Taifa letu ni kubwa kuliko maslahi yetu binafsi na hivyo hatuwezi kukubali watu wachache walete machafuko kwa Taifa letu
 
Mahakama Tayari imeshatoa uamuzi kwa hiyo usiishie kuongea tu humu bali kama hujaridhishwa na uamuzi wa mahakama unaweza kwenda kukata Rufaa.
Shwaini!!
Nimejitahidi sana kujizuia lkn Moderator mniwie radhi!
Huyu anasema waende mahakamani; wapi? Wakili Mwabukusi na Mdude mmewakamatia vyumbani kwao? Si walikuwa njiani wakielekea Dar kufungua kesi ya rufaa Mahakama ya rufani. Yaani mnamchapa kiboko mtanganyika kisha mnamzuia kulia!! Yaani hata huelewi kinachoendelea!!
 
Mbona wewe usiye muoga umeshindwa kutoka hadharani na badala yake umebaki umejikunyata na kujificha kwenye fake id? Unataka nani abebe atangulie mbele ili wewe uwe unachungulia kwenye madirisha ya chooni kwako kinachoendelea nje

Believe me, hakuna mahali popote duniani amani ilipolidwa na kudumu kwa kutumia mtutu wa bunduki. Amani ni tunda la haki. Penye haki amani hustawi automatically na kinyume chake ni sahihi pia!
 
Mimi huwa sivutiwi na kamata kamata kwenye ishu za kisiasa lakini alichofanya Mwabukusi hakivumiliki. Kama mahakama ilishatoa hukumu kuna taratibu za kufuata na sio kusema utaitisha maandamano nchi nzima. Alichokitamka Mwabukusi ni uchochezi. Polisi wako sahihi kumkamata.
 
Kama kakamatwa nenda wewe ukafungue kesi na siyo kuleta mahasira yako huku nenda kapambane mahakamani ili na wewe udondokee pua kama wenzio walioshindwa hata kuishawishi mahakama kwa hoja. walifikiri mahakamani ni mahali pa kupiga blaa blaa kama wapigavyo majukwaani ambako wanakutana na wenzao wanaofanana akili
 
Hii kazi unaiwezea kweli, kula tano
 
Unapomwambia mwenzako aende mahakamani, Kwani wewe umeenda mahakamani?
 
DPW wakitaka na vituo vya mabasi wapewe vyote.Watanzania tupo busy na simba na UTO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…